Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
uncle ana mashamsham.........
Hahahhaha
uncle ana mashamsham.........
mwenyekiti.....kutokana na hadidu rejea....venue napendekeza ibaki kama ilivyo....anlesi azawaizi kutokee zarura timilifu.....
Wanaoafiki waseme ndio........
wasioafiki waseme sio........
Wewe Easymutant nakuona hapo....hebu itikia hapa........
Weraaaa weraaaa.....la mgambo limelia.....asiye na mwana abebe jiwe......
mmmmmh.....ni ule wakati mwingine tena wa mwisho wa mwaka......JF HQ .a.k.a watalii...a.k.a wazee wa kula bata.....a.k.a wazee wa ma foreign currency........a.k.a watumiaji.....
Kama ilivyo kawaida yetu......niwakaribishe tena katika libeneke la kufunga mwaka.....tuweke mawazo yetu pamoja ili tuweze kudumisha umoja wetu.....
Mara ya mwisho ilikuwa 2010.......jamani jamani......siku nyingi hivyooooo.....
Haya sasa....anayejijua anahusika aitike hapa.......na pia majirani zetu.....na wale wa JF DAR Branch wote mnakaribishwa......
Kwa utambulisho wa kikao cha mwanzo.....ni siku ya Jmosi 10/11/12.....venue...Club 63.......(kwa maoni yangu)....je mnasemaje...?
Nawakilisha........
cc:. PakaJimmy Blaki Womani Mungi Erickb52 Mr Rocky Kabakabana Philipo Arushaone marejesho Lily Flower LiverpoolFC sweetlady Mzee wa Rula Crashwise Asprin Teamo The Finest Bigirita Mwanajamiione LD Maty Kimey Kaizer WiseLady Maxence Melo FirstLady Sahara Voice Freetown lara 1 cacico snowhite charminglady Madame B Nicas Mtei KARIA Jackbauer Smile Boflo mwaJ Mtumishi Wetu Mtambuzi GY RR Vinci
KOH KOH KOH KOH KOH KOH !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwee! Mwee! NGATI ULI? Nahitaji cofilini kwa kweli nimewatoka moyoni. nitakuja hata kwa lazima.
..sawa ila hapa chini..sijaelewa...bebii.....most welcome.....hakyanani usipokuja siendi......
..PJ unamaanisha nini?...mie nakuja kutembea mwisho wa mwaka..hilo BATA lenu..napita tu..hahahahahaha..D! huyu jamaa bado hajakubali kuwa kazidiwa kwa mbali na TANMO!...Aisee, watu wang'ang'ania ka luba!
Yes ntakuja nitumie nauli nipo chuo..... 🙂
Akipokea hizo hela zako pandisha thread fastafasta ili tumalizie siku nzima huko leo!utahitaji kiasi gani.......