PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,787
Mkuu umeamua kumwaga ugali!Kaka unatuonea bure asee.....
Hebu soma hii makitu yako mwenyewe. Tena kipindi hicho hata bado hatujafahamiana kabisaaaaa....!
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/52011-shukrani-nimekutana-na-mkono-wa-mungu-live.html
Hehehehe!! Acha kuusema vibaya mkono wa Mungu bana!!
Afu mwambe Saharavoice, amepigwa marufuku ya kuja Dar. Akija aishie Ruvu darajani..... LOL