Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
Weraaaa weraaaa.....la mgambo limelia.....asiye na mwana abebe jiwe......
mmmmmh.....ni ule wakati mwingine tena wa mwisho wa mwaka......JF HQ .a.k.a watalii...a.k.a wazee wa kula bata.....a.k.a wazee wa ma foreign currency........a.k.a watumiaji.....
Kama ilivyo kawaida yetu......niwakaribishe tena katika libeneke la kufunga mwaka.....tuweke mawazo yetu pamoja ili tuweze kudumisha umoja wetu.....
Mara ya mwisho ilikuwa 2010.......jamani jamani......siku nyingi hivyooooo.....
Haya sasa....anayejijua anahusika aitike hapa.......na pia majirani zetu.....na wale wa JF DAR Branch wote mnakaribishwa......
Kwa utambulisho wa kikao cha mwanzo.....ni siku ya Jmosi 10/11/12.....venue...Club 63.......(kwa maoni yangu)....je mnasemaje...?
Nawakilisha........
cc:. PakaJimmy Blaki Womani Mungi Erickb52 Mr Rocky Kabakabana Philipo Arushaone marejesho Lily Flower LiverpoolFC sweetlady Mzee wa Rula Crashwise Asprin Teamo The Finest Bigirita Mwanajamiione LD Maty Kimey Kaizer WiseLady Maxence Melo FirstLady Sahara Voice Freetown lara 1 cacico snowhite charminglady Madame B Nicas Mtei KARIA Jackbauer Smile Boflo mwaJ Mtumishi Wetu Mtambuzi GY RR Vinci et all
NEW...napenda kuweka hizi adidu rejea hapa....kwa manufaa ya wale wageni wa JF.....
https://www.jamiiforums.com/mahusia...a-mbuga-zetu-nani-anaenda-12.html#post4982286
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/94350-jf-arusha-wing-safari-updates-15.html#post4981931
UPDATES: Wale wote watakaohudhuria.......ningependa mniPM ili mchakato wa kujulishwa venue usiwapite.....