JF HQ Wing - Arachuga kuja kipande hii

JF HQ Wing - Arachuga kuja kipande hii

Tatizo lenu mnapenda protokali kama makatibu tarafa.
Njooni mjini muone watoto waliovaa mavazi ya msimu wa joto....
Ha ha ha haaaa!....Lol!
Ukienda Dar utakuta kila unayempigia anatangulia kukuuliza.."kwani we uko wapi"?, Ukisema niko Buguruni KOSA!...Atakwambia mbona mi niko Tegeta na sasa hivi kuna foleni kubwa bana, tutaftane siku ingine". Saundi miiingi, Ujanja mtandaoni tu!!

Acheni usanii bana, siku hizi kuna treni la Mwakyembe, kwahiyo mambo ya foleni hayana utetezi tena, pokeeni wenzenu wanapokuja Dar! Ugumu wanini, we tafuta nauli ya dala-dala ya Mtogole-Ubungo inatosha, mi mambo ya bili ya chomachoma na Konyagi zangu na zako yananihusu, Huwa tunakuja Dar tukiwa full Tanzanite-One bana, nyie vipi?!
 
PJ itabidi uage Arusha, mm naandaa suti yangu na mapema, Asante Preta kwa mwaliko
Mkuu,
Suti ya nini si tunaenda vekesheni huko ma-outskirts!
Usiwe kama Diamond Platinums aliyeenda Ngorongoro na Suti ya kuolea!

Huko unakuwa kwenye mkao wa kukabiliana na makasheshe!

article-1298640433278-0D5B0105000005DC-932938_466x296.jpg
 
Mkuu,
Suti ya nini si tunaenda vekesheni huko ma-outskirts!
Usiwe kama Diamond Platinums aliyeenda Ngorongoro na Suti ya kuolea!

Hahaha...
Suti ya Diamond ilikuwa Dinner suit
 
...halafu sisi tukibeba huwa tunawaondolea access ya JF kabisa kabisa...!

tunawafungia ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom