Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
preta nimesoma ulichokiandika..............
Unajua kupiga chabo..........
preta nimesoma ulichokiandika..............
Nyie watu wabaya sana..... Mabia mnipigishe wenyewe, niko kibwasi mlijua fika afu hata kuniamsha mkagoma. Manina zenu.2010 was the best DAR HQ tukasema twenzetu Arusha yalikuwa ni maamuzi ya siku moja ilikuwa haina haja ya kupanga wala nini kesho yake Jumatatu watu hao gari zikatiwa mafuta vruuummm hapa Bigirita pale Teamo aka T.I upande wa kushoto Kimey kule kati LD pale FirstLady kule MwanajamiiOne halafu The Finest kwa pembeni kule akawa amekaa Maty watu wakapiga gia mara Chalinze watu hao vruuumm tukapiga stop kopo zikafunguliwa vruuumm mpaka sheli tena gari zikajazwa mafuta weka gia namba mbili mara Moshi hii hapa.
Tukacheki kulia na kushoto JF HQ Wing tukawapa bonge la surprise kwamba tunakuja pande hizo shughuli ikawa nzito pale PakaJimmy pale mhandisi Preta kule mhandisi WiseLady pale lilyFlower kule Mzee wa Rula hahahaha bila kumsahau SaHaRa Voice na Freetown wakasema msitutanie nyie tukasema tulieni basi saa 12 jioni watu hao ndani ya Arusha kilichoendelea hapo ni balaa tupu ikapigwa dinner ya kufa mtu na shangwe bila kusahau kikao kifupi na Maxence Melo....kwenye hii safari Asprin aliachwa baada ya kuwa busy na kukagua hadi akapitiliza masaa.
So bring it on again 2012...
Hahahahaha...mkuu chezeiya safari wewe yaani unapiga gia halafu pembeni kuna Castle Light acha utani kabisa wewe Mr RockyHii topic imemuibua The Finest
Sijui kafichwa na nani na wapi
Aise mkuu tulikumiss sana aise
kariibu sana
Nyie watu wabaya sana..... Mabia mnipigishe wenyewe, niko kibwasi mlijua fika afu hata kuniamsha mkagoma. Manina zenu.
Kwa hasiri nikajimuvumisha mwenyewe Ar kuwalipizia kisasi. Kama unabisha waulize Preta, lilyFlower, sweetlady, PakaJimmy, Filipo, Kabakabana, LiverpoolFC, WiseLady, Saharavoice Mzee wa Rula, Blaki Womani na majirani zake bila kumsahau binamu muzee ya kufyotoa mafoto na Rauuuum kamata tupa kule, shika RAVA foo weka hapa..............Vruuuuum Kwa Mromboooo
Chezeya babu Asprin a.k.a ODM!
Enzi hizo kuna watoto walikuwa bado kuzaliwa!
Hahahahaha...mkuu chezeiya safari wewe yaani unapiga gia halafu pembeni kuna Castle Light acha utani kabisa wewe Mr RockyHii topic imemuibua The Finest
Sijui kafichwa na nani na wapi
Aise mkuu tulikumiss sana aise
kariibu sana
Huh! Lets go dancing HUUU LA LA LAAAA!!Nani kakuambi pombe ni chai ukome ulimiss vitu vya ukweee, nasikia uliweka alam nyingi lakini hukushtuka ulevi noma
I confirm ulikuja baada ya miezi sita.
The Finest aise nilikukosa sana nikaamini jamaa atakuwa kashampata wa kumwambia marufuku kukanyaga JF huko utaktana na akina snowhite, sweetlady Blaki Womani na wengineo watakuibaHahahahaha...mkuu chezeiya safari wewe yaani unapiga gia halafu pembeni kuna Castle Light acha utani kabisa wewe Mr Rocky
Mr Rocky nitake radhi!The Finest aise nilikukosa sana nikaamini jamaa atakuwa kashampata wa kumwambia marufuku kukanyaga JF huko utaktana na akina snowhite, sweetlady Blaki Womani na wengineo watakuiba
Hahahahaha...nipo mkuu kuna kibabu kinaitwa Asprin ndio kinatusumbua sana na uzee wake hapa mjini tunataka tumrudishe tu Mamdenyi maana huku mjini anajifanya mzee kijanaThe Finest aise nilikukosa sana nikaamini jamaa atakuwa kashampata wa kumwambia marufuku kukanyaga JF huko utaktana na akina snowhite, sweetlady Blaki Womani na wengineo watakuiba
Huh! Lets go dancing HUUU LA LA LAAAA!!
The Finest mwayego kwani unaogopa?ahahahhahahhahhahHahahahaha...mkuu chezeiya safari wewe yaani unapiga gia halafu pembeni kuna Castle Light acha utani kabisa wewe Mr Rocky
hii BAK hajawahi kuitoa hii! Nicas Mtei unaiona muuuuv ya Boflo ?
muulize anaweza kuingilia mengele ya mtu yenye sari lakini?mwongozo wako shemeji!
Ha ha ha haaaa!....Lol!
Ukienda Dar utakuta kila unayempigia anatangulia kukuuliza.."kwani we uko wapi"?, Ukisema niko Buguruni KOSA!...Atakwambia mbona mi niko Tegeta na sasa hivi kuna foleni kubwa bana, tutaftane siku ingine". Saundi miiingi, Ujanja mtandaoni tu!!
Acheni usanii bana, siku hizi kuna treni la Mwakyembe, kwahiyo mambo ya foleni hayana utetezi tena, pokeeni wenzenu wanapokuja Dar! Ugumu wanini, we tafuta nauli ya dala-dala ya Mtogole-Ubungo inatosha, mi mambo ya bili ya chomachoma na Konyagi zangu na zako yananihusu, Huwa tunakuja Dar tukiwa full Tanzanite-One bana, nyie vipi?!
Tarehe 10 mkuu.
Hamna wala mimi sio muoga kihiivyoooo....hahahaha snowhiteThe Finest mwayego kwani unaogopa?ahahahhahahhahhah
Hahahahaha...asante ukiona nime bold na kuweka rangi nyekundu basi ujue hatari inakuja....hahahahahaKaka unatuonea bure asee.....
Hebu soma hii makitu yako mwenyewe. Tena kipindi hicho hata bado hatujafahamiana kabisaaaaa....!
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/52011-shukrani-nimekutana-na-mkono-wa-mungu-live.html
Hehehehe!! Acha kuusema vibaya mkono wa Mungu bana!!
Afu mwambe Saharavoice, amepigwa marufuku ya kuja Dar. Akija aishie Ruvu darajani..... LOL
Tatizo mwalimu wangu husomeki kabisa. Hebu peana na mimi hiyo kazi kwa PM basi.....af wewe nilikukabidhi kazi hujaifanya mpka leo manake sijapat feedback wala mlisho mbele
unazeeka sasa!