JF HQ Wing - Arachuga kuja kipande hii

JF HQ Wing - Arachuga kuja kipande hii

au tuwatumie pesa za mafuta mje dar?....................

au mtakuja kanumba akifa?...i msanii mwingine akifa...
 
2010 was the best DAR HQ tukasema twenzetu Arusha yalikuwa ni maamuzi ya siku moja ilikuwa haina haja ya kupanga wala nini kesho yake Jumatatu watu hao gari zikatiwa mafuta vruuummm hapa Bigirita pale Teamo aka T.I upande wa kushoto Kimey kule kati LD pale FirstLady kule MwanajamiiOne halafu The Finest kwa pembeni kule akawa amekaa Maty watu wakapiga gia mara Chalinze watu hao vruuumm tukapiga stop kopo zikafunguliwa vruuumm mpaka sheli tena gari zikajazwa mafuta weka gia namba mbili mara Moshi hii hapa.

Tukacheki kulia na kushoto JF HQ Wing tukawapa bonge la surprise kwamba tunakuja pande hizo shughuli ikawa nzito pale PakaJimmy pale mhandisi Preta kule mhandisi WiseLady pale lilyFlower kule Mzee wa Rula hahahaha bila kumsahau SaHaRa Voice na Freetown wakasema msitutanie nyie tukasema tulieni basi saa 12 jioni watu hao ndani ya Arusha kilichoendelea hapo ni balaa tupu ikapigwa dinner ya kufa mtu na shangwe bila kusahau kikao kifupi na Maxence Melo....kwenye hii safari Asprin aliachwa baada ya kuwa busy na kukagua hadi akapitiliza masaa.

So bring it on again 2012...
Nyie watu wabaya sana..... Mabia mnipigishe wenyewe, niko kibwasi mlijua fika afu hata kuniamsha mkagoma. Manina zenu.

Kwa hasiri nikajimuvumisha mwenyewe Ar kuwalipizia kisasi. Kama unabisha waulize Preta, lilyFlower, sweetlady, PakaJimmy, Filipo, Kabakabana, LiverpoolFC, WiseLady, Saharavoice Mzee wa Rula, Blaki Womani na majirani zake bila kumsahau binamu muzee ya kufyotoa mafoto na Rauuuum kamata tupa kule, shika RAVA foo weka hapa..............Vruuuuum Kwa Mromboooo

Chezeya babu Asprin a.k.a ODM!

Enzi hizo kuna watoto walikuwa bado kuzaliwa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom