:a s 101:
Nimeshaweka order ya mafuta ya Chopa pale Puma Oil.
Hawa machalii wa Arusha Kipapatio aka Arusha Wing watatutaka......na tukienda tukirudi, tunanyakua mmoja....!
Nimeshaweka order ya mafuta ya Chopa pale Puma Oil.
Hawa machalii wa Arusha Kipapatio aka Arusha Wing watatutaka......na tukienda tukirudi, tunanyakua mmoja....!
Mwaka huu yamnyakui mtu kwani nyie mwewe....
Preta unataka kuuza timu mapema kama Kaseja, Arusha Wing itageuka Msimbazi sasa hivi hebu futa kauli yako tehe tehe.nimeipenda hii.......
ohooo God have mercy! umefumaniwa au nini jamani ? poleKila siku naripoti polisi nakuambia nimekuwa mdogo kama piriton jinsi ninavyotii amri hahaaaa!
Nyie warembo hatari sana! Muda huu naandika tayari napigiwa simu tena sentro dah! Mungi mwaka huu ninayo!
Hahahahaha... Lily Flower weweeeMwaka huu yamnyakui mtu kwani nyie mwewe....
Hahahahahaha....DuhMuosha huoshwa, imefika zamu yao labda wasiingize majeshi tehe tehe.
Muosha huoshwa, imefika zamu yao labda wasiingize majeshi tehe tehe.
The Finest aka super handsome umeadimika kama kikojoleo cha kuku jukwaani!!!! Au ndiyo mambo ya multiple ID???? Loner yupo kajaa tele kama pishi la mchele wa Mbeya kaka.
...ndicho mungu alichotutuma hapa duniani....!Nimeshaweka order ya mafuta ya Chopa pale Puma Oil.
Hawa machalii wa Arusha Kipapatio aka Arusha Wing watatutaka......na tukienda tukirudi, tunanyakua mmoja....!
Nguvu ya ziada itatumika kuhakikisha vifaranga vyote viko chini ya Mama yao (KK security) ha ha ha
The Finest aka super handsome umeadimika kama kikojoleo cha kuku jukwaani!!!! Au ndiyo mambo ya multiple ID???? Loner yupo kajaa tele kama pishi la mchele wa Mbeya kaka.
Mwaka huu yamnyakui mtu kwani nyie mwewe....
...ndicho mungu alichotutuma hapa duniani....!
Hahahahahaha...nipo bana mipango mingi tu hapa mjini mkuu aiseee ila ishu kama hizi sio za kukosa kuchangia kabisa ndio maana nimekuja fasta sanaThe Finest aka super handsome umeadimika kama kikojoleo cha kuku jukwaani!!!! Au ndiyo mambo ya multiple ID???? Loner yupo kajaa tele kama pishi la mchele wa Mbeya kaka.
Na wote tuseme AMEN.Sio anauza team, ni kwamba, yaliyoandikwa hayanabudi kutimia.