Sitaki salamu yako..., siku hizi una mapozi!..hata chit-chat huingii!!...mtu gani wewe...wakati Filipo, Mungi na Mzee wa Rula wamehamia rasmi huko!Umeonaa eeh,habari yako bhana.
Uncle nini tena........?
Kulikoni Mungi ?
Sitaki salamu yako..., siku hizi una mapozi!..hata chit-chat huingii!!...mtu gani wewe...wakati Filipo, Mungi na Mzee wa Rula wamehamia rasmi huko!
hivi y sero yameishia wapi jamani pole sana ndugu yanguNjoo nitoe Sero nikuambie hahaaa
Sitaki salamu yako..., siku hizi una mapozi!..hata chit-chat huingii!!...mtu gani wewe...wakati Filipo, Mungi na Mzee wa Rula wamehamia rasmi huko!
Uncle na wewe.....muulize Blaki Womani au Mzee wa Rula.......
hivi y sero yameishia wapi jamani pole sana ndugu yangu
huyu kwa kweli nina muda sana sijamuona....... Loner hebu itika hapa.........
Wana kesi hawa sisi kesi tulishinda bado wao tu kuweka appeal na kupindua maamuzi ya JajiHivi Arachuga, kipapatio cha JF bado mnasisitoza kuwa HQ?
Nashangaa mliahidi kuja HQ lakini mmeshindwa, miaka miwili imekatika hivihivi.
Yupo pwani ya horn of Africa......nani anataka namba yake?
Ni The Finest???!!!
2010 was the best DAR HQ tukasema twenzetu Arusha yalikuwa ni maamuzi ya siku moja ilikuwa haina haja ya kupanga wala nini kesho yake Jumatatu watu hao gari zikatiwa mafuta vruuummm hapa Bigirita pale Teamo aka T.I upande wa kushoto Kimey kule kati LD pale FirstLady kule MwanajamiiOne halafu The Finest kwa pembeni kule akawa amekaa Maty watu wakapiga gia mara Chalinze watu hao vruuumm tukapiga stop kopo zikafunguliwa vruuumm mpaka sheli tena gari zikajazwa mafuta weka gia namba mbili mara Moshi hii hapa.
Tukacheki kulia na kushoto JF HQ Wing tukawapa bonge la surprise kwamba tunakuja pande hizo shughuli ikawa nzito pale PakaJimmy pale mhandisi Preta kule mhandisi WiseLady pale lilyFlower kule Mzee wa Rula hahahaha bila kumsahau SaHaRa Voice na Freetown wakasema msitutanie nyie tukasema tulieni basi saa 12 jioni watu hao ndani ya Arusha kilichoendelea hapo ni balaa tupu ikapigwa dinner ya kufa mtu na shangwe bila kusahau kikao kifupi na Maxence Melo....kwenye hii safari Asprin aliachwa baada ya kuwa busy na kukagua hadi akapitiliza masaa.
So bring it on again 2012...
Sitaki salamu yako..., siku hizi una mapozi!..hata chit-chat huingii!!...mtu gani wewe...wakati Filipo, Mungi na Mzee wa Rula wamehamia rasmi huko!