Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,352
- 111,631
umeona ee? Inawezekana ni twins
hahaha...halafu kuna uwezekano jina lake ni Kelner...ila kwa sasa kibodii ndio dizaini inamix Araaa na Elooo...
umeona ee? Inawezekana ni twins
ah ah ah...!
Hawa baada ya kutoka serena naona wameludi makwao, hapa kwa Mjeda nimetoka kama dk 15 zilizopita hawapo
ha ha ha..umeikopi kabisa hiyo ''ludi'' kuonyesha msisitizo
ni wale wale hao. noahism yuko wap?
Nicas Mtei sijui niseme umenishtua au umenifumbua jicho la tatu? THANKS THOUGH.
ni kweli yaanihahaha...halafu kuna uwezekano jina lake ni Kelner...ila kwa sasa kibodii ndio dizaini inamix Araaa na Elooo...
umempumzisha?noahism time hizi amepumzika si unajua weekend
teh teh. Watu wanataka kuchezea akili zetuNicas Mtei sijui niseme umenishtua au umenifumbua jicho la tatu? THANKS THOUGH.
najua ni out of topic ila nimekumis we binti maana toka kipindi kileeee cha machafuko sijakuona
teh teh. Watu wanataka kuchezea akili zetu
kashakula ban
Mda si mrefu atarudi humu na ile ID yake ya siku zote...
halafu ana ID nyingi kwa kushadadia watu wasalimishe ID zao ni bingwa
halafu ana ID nyingi kwa kushadadia watu wasalimishe ID zao ni bingwa