Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
- Thread starter
- #21
Safi sana wakuu........nadhani mwita unajua kilichonikimbiza mapema......kina Kimei hii sharing is caring wanaiandika kwenye kibodi tu ukiwakuta anga zao balaa!
Kabisa mkuu nafahamu kwanini ulikimbia mapema,
sasa hommie kimey nwe unamtilia mashaka??
Itabidi ajieleze vizuri.