Watu watatu wakushambulie bila kukugusa kichwa ila mguu mmoja tu, utawaeleza hayo wale wasio tumia akili na wakupumbazwa kirahisi. Lissu alitupumbaza anaogopa kurudi lakini lazima aendelee na ubunge, wewe unakuja na hilo bila kujua unachafua taifa unalotaka kuongoza, acheni kutufanya wote ni mafala, wapumbaze wajinga wenu pekee. Walevi ni waongo na hawafai kuongoza hata mtaa.
Kaka mboweView attachment 1478513
Ni rahisi sana kuwabana hawa mataga kwasababu ni washamba sana na pia wana ujinga mwingi kishenzi kutokana na mambo wanayofanya ya kujenga ufalme wa chattle. Ni aibu na ujinga kwa watanzania wengine kuungana na washamba wa chattle bila kujua mnafanya nini.Umeshaambiwa, leo lilikua kumkomoa ili asifanye kampeni.
Mpaka ushikiwe fimbo ndo uelewe?