Msichokifahamu ni kwamba waziri SLAA ni MAGUFULI namba mbili, anapita kwenye njia ambayo viongozi wengi hawawezi kupita
Huyu Slaa alipokuwa Mayor wa jiji la Dar es Salaam, alipingana sana na Magufuli. Wakati magufuli akiwa waziri wa ujenzi walikuwa wanabishana kuhusu kung'oa mabango ya biashara kutoka barabara za Tanroad.

Alimshutumu magufuli kwamba anaendesha wizara kwa mihemko na hafuati sheria.
Sasa Leo tena Slaa naye kawa Magufuli?
 
Huyu Slaa alipokuwa Mayor wa jiji la Dar es Salaam, alipingana sana na Magufuli. Wakati magufuli akiwa waziri wa ujenzi walikuwa wanabishana kuhusu kung'oa mabango ya biashara kutoka barabara za Tanroad. Alimshutumu magufuli kwamba anaendesha wizara kwa mihemko na hafuati sheria.
Sasa Leo tena Slaa naye kawa Magufuli?
Jerry Silaa hajawahi kuwa meya wa Jiji, alikuwa meya wa Ilala
na ni miongoni mwa wabunge waliokuwa wakipaza sauti Magufuli aongezewe muda wa urais kutoka vipindi viwili kwa kufanya mabadiliko kwenye katiba
 
Msichokifahamu ni kwamba waziri SLAA ni MAGUFULI namba mbili, anapita kwenye njia ambayo viongozi wengi hawawezi kupita
Huyu jamaa huwa simuelewi vizuri. Mara anakaza, mara anashabikia bandari (ndo iliyomtoa) kapewa maagizo apite alimokuwa anapita lukuvi mana hali ilikuwa imekaa vibaya kwa wapiga kura, ni kama anavyofanya makonda tu.
 
Waziri wa Ardhi Mheshimiwa Jerry Slaa amemtaja Alex Msama wa Msama Promotions kwamba ni mojawapo ya matapeli wakubwa 7 wa viwanja mkoa wa Dar es Salaam aliowahi kutamka kwamba atawashug
hulikia.

Msama amekua akitapeli watu viwanja, kuuza viwanja vya wazi, kuuza viwanja vya wajane, kutumia majina ya viongozi waliostaafu kutapeli viwanja na kujifanya mtoto wa mjini.

Msama amekua akiandaa matamasha ya kusifia viongozi kila mwaka kumbe ni coverup tu ya matukio yake ya utapeli wa viwanja.

 
Back
Top Bottom