Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,966
- 51,108
Aisee!!!CCM kwa CCM, ulitegemea nini? Ni marufuku kada kumwajibisha kada, ufumbuzi hutafutwa pole pole na kimya kimya mradi kazi iendelee!
Aisee!!!CCM kwa CCM, ulitegemea nini? Ni marufuku kada kumwajibisha kada, ufumbuzi hutafutwa pole pole na kimya kimya mradi kazi iendelee!
Angalia Millad AyoCCM kwa CCM, ulitegemea nini?
Ni marufuku kada kumwajibisha kada.
Ufumbuzi hutafutwa pole pole na kimya kimya
Huwezi kuamini tuna awamu ya sita badala ya tano.
Chama kile kile, watu wale wale na kazi inaendelea.
Na hivyo imeisha au siyo? Plea bargain au?Angalia Millad Ayo
Amekutana na waziri ofisini kwake wizarani na waziri amemwambia arudishe viwanja.
Mkuu mpaka Chino Wanaman nae ana chawa wake.Nchi hii bhana ! Makonda naye ana chawa
Gentamycine; alazwe mahali pema peponi Sophia Yamola.Mkimalizana nae katika hili Mamlaka nyingine imkamate kwa Kosa la Kudhulumu Mishahara na Stahiki za Wafanyakazi ( Waandishi wa Habari ) wa iliyokuwa Media ( hasa Gazeti ) akiongozwa na Marehemu Dada Yamola.
Pre GE2025 - DSM - Alex Mshama: Tamasha la kuombea uchaguzi kufanyika mikoa 26 nchiniUkikagua utakuta jamaa ni KADA mtiifu wa CCM - na ukichimba zaidi waweza kukuta ndiye kqmpeni meneja wa chagua Mama SSH 2025.
CCM ni janga kuliko ukoma.
Hivi hizi kesi zake ziliishia wapi??View attachment 2968634
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM.
====
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama kujisalimisha kwa Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Dar es salaam akiwa na baadhi ya watu waliouziwa eneo la viwanja namba 1 kitalu 22 lililopo Kibada Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es salaam ili kurejesha kwa wananchi eneo hilo lijengwa shule ya sekondari.
Silaa ametoa maagizo hayo alipofanya ziara katika eneo hilo Manispaa ya Kigamboni baada ya mgogoro huo kuwa wa muda mrefu kati ya wananchi wa eneo hilo na baadhi ya watu walionunua eneo la shule akiwemo Allex Msama.
Aidha, Waziri Silaa amemtaja Alex Msama kuwa ni tapeli namba 3 wa viwanja jijini Dar es salaam na tayari ameishaagiza baadhi ya maeneo anayoyamiliki kinyemela kunyang’anywa ikiwemo eneo la wazi na eneo la fukwe lililopo Mbweni Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
UPDATES
- Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800
Silaa aliishia kutimuliwa uwaziriHivi hizi kesi zake ziliishia wapi??
Ndo tatizo la Tz hiloSilaa aliishia kutimuliwa uwaziri