Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,333
- 24,221
- Thread starter
- #101
Mtu ukifanya maasi, binadamu akikushindwa, watu wanadondokea magoti na kusali tu!Kweli Mungu ni 'fundi'
Mtu ukifanya maasi, binadamu akikushindwa, watu wanadondokea magoti na kusali tu!Kweli Mungu ni 'fundi'
Alafu kingine usije ukaona jengo kubwa hilo basi ukajua kuna fedha kubwa imetumika,hapo ni just value for money tu.Tatizo lenu mliofaidika na wizi huu wa kuaminiwa ni kujiona wajaaanja kupindukia.
Ni kama suala la Good Gorvenance mnaliweka kisogoni.
Ukweli mnaujua kuwa yaliyifanyika ni haramu.
Na Kalemani akichukuliwa na kushitakiwa kama mfano kitaeleweka.
Basil Mramba alishachukuliwa hatua kama hizo, tukifikiri wanasiasa wamejifunza.
alifocuss mbali kwani chato itaendelea kuwa ndogo mpaka ln?huo ni uwekezaji mzuri baada ya miaka mitano au kumi chato haitakuwa ndogo bali itakuwa kubwa.View attachment 1944399
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.
Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.
Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.
YALIYOJIRI
Waziri Mkuu amekataa kupokea jengo la TANESCO huko Kyerwa, Kagera.
Waziri Mkuu kwa maslahi ya Tsifa tembelea jengo la Chato.
Mbona Magu alikuwa magofu na akayamalizia.ile hospitali iliyokwama kwa miongo kadhaa pale musoma kwani Magu hakuiendeleza?kazi na iendelee.Ashitakiwe kwa kujenga magofu kwa hela adimu ya Watsnzania.
Unamdhalilisha baba ako kwa kuuliza maswali ya kipuuzi.Kwani jengo ndio linazalisha umeme?
Wivu tu.
Hivi ile trillion 1.5 iliishia wapi? Huko sio kujilimbikizia mali kweli? Na vipi uwanja wa chato kujengwa na mayanga je kampuni ya mayanga haina interest za magufuli?Bora jengo Kama Hilo huko chato. Ipo siku litatumika
Sio kujilimbikizia Mali Kama familia za baadhi ya marais
Unapoona mambo ya msingi yanajadiliwa jitahidi kuficha ujinga wako.Gharama za ujenzi chato ni ndogo kuliko gharama za Dar, simple like that kwanini wajinyime wakati maeneo wanayo.
Ni vyema kuweka kumbukumbu sawa ili ujinga kama huu usirudie.Bwana yule anawasumbua sana kichwa ingawa yuko kaburini miezi 6 sasa! Majungu hayajengi.
Tutamkumbuka kwa wizi wa 1.5 trillion na matumizi mabaya ya fedhaTatizo la mleta post kuishi Dar na kudhani Dar es Salaam kila kitu kijengwe huko, Magufuli amefungua nchi hata Dodoma watu walitaka wssihamie,
Magifuli tutakukumbuka
Magufuri hakujenga hospitali kubwa kusini? Hakufufua bandari ya kusini? Magufuri ameacha majengo mengi nchi hiiUkiwa na Rais masikini, mwenye roho ya uchoyo kama tabia, haya ndiyo tunashuhudia kwa mshangao!
Sasa mleta posti, tuambie kwa nini Mkapa hakufanya kujipendelea kijiji chake Lupaso Masasi.
Masasi kuna sehemu nzuri tu ya kujenga uwanja a ndege wa kimataifa, TANESCO jengo kubwa, Hospitali ya kimataifa pamoja na hoteli za kimataifa, lakini kwa dhamira ya uzalendo na kiasi hakufanya hivyo.
Kweli Kalemani aliyebaki ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Unajitahi kumchafua lakini utashindwa tu, mzee alijitahidi kadri uwezo wake kujenga miundo mbinu,Tutamkumbuka kwa wizi wa 1.5 trillion na matumizi mabaya ya fedha
Wivu tuUnamdhalilisha baba ako kwa kuuliza maswali ya kipuuzi.
Wivu tuUnamdhalilisha baba ako kwa kuuliza maswali ya kipuuzi.
Sasa usipopenda kwako nani atapapendaYule mtu alikua ni m'bishi sana aliye kupenda kwao kupitiliza
Kwako ni ujinga Kwa wengine wanatimiza wajibu wao. Hizo kumbukumbu weka ila huwezi kuzuia watu wasifanye yaoNi vyema kuweka kumbukumbu sawa ili ujinga kama huu usirudie.
Kama umeona pamejengwa vizuri hamia hukoTusi uchekee upendeleo wa dhahiri na usio na tija.
Dar hapa kuna kata zina watu zaidi ya laki.
Ni heri kusema Sinza nao wajengewe jengo kama hilo la Chato, bado utaeleweka, kuliko watu elf 28,000 kuwajengea International Airport, Hospitali ya kimataifa na sasa madudu makubwa ambayo yangekuwa na faida zaidi katika uwekezaji wenye tija.
Kalemani ashitakiwe Kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Kamshtaki kama ushahidi unaoHakuna shida ukifaidi kwa pesa yako.
Fedha za kodi ya Watanzania matumizi yake laxima yapitishwe na bunge.
Kinyume na hivyo ni uhujumu uchumi.
Kalemani ashitakiwe.
Watu wataongezeka lakini jengo haliongezeki. Acheni wivu wa kikeSyo swala la ardhi kuwa tanzania ni je ukubwa wake unaendana na idadi ya watu litakaowahudumia?
kama halizalishi umeme, why kuzifuja kodi za walalahoi kujengo useless structure eneo pasipo na uhitaji huo?Kwani jengo ndio linazalisha umeme?
Wivu tu.