Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

Tatizo lenu mliofaidika na wizi huu wa kuaminiwa ni kujiona wajaaanja kupindukia.
Ni kama suala la Good Gorvenance mnaliweka kisogoni.
Ukweli mnaujua kuwa yaliyifanyika ni haramu.
Na Kalemani akichukuliwa na kushitakiwa kama mfano kitaeleweka.
Basil Mramba alishachukuliwa hatua kama hizo, tukifikiri wanasiasa wamejifunza.
Alafu kingine usije ukaona jengo kubwa hilo basi ukajua kuna fedha kubwa imetumika,hapo ni just value for money tu.

Usikute bajeti ya hapo ni sawa na ile iliyoenda kituo cha Tanesco kagera sema eneo moja limepigwa ufisadi eneo lingine liko huru na mikono ya ufisadi.

Ni katika awamu hii ya Magu ndio tumeanza kuona majengo mengi ya serikali na uma yakija katika muonekano wa kisasa.mfano hospitali,masoko,ofisi za wilaya na kadhalika.
 
View attachment 1944399

Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.

Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.

Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.

Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.

YALIYOJIRI
Waziri Mkuu amekataa kupokea jengo la TANESCO huko Kyerwa, Kagera.
Waziri Mkuu kwa maslahi ya Tsifa tembelea jengo la Chato.
alifocuss mbali kwani chato itaendelea kuwa ndogo mpaka ln?huo ni uwekezaji mzuri baada ya miaka mitano au kumi chato haitakuwa ndogo bali itakuwa kubwa.
 
Bora jengo Kama Hilo huko chato. Ipo siku litatumika

Sio kujilimbikizia Mali Kama familia za baadhi ya marais
Hivi ile trillion 1.5 iliishia wapi? Huko sio kujilimbikizia mali kweli? Na vipi uwanja wa chato kujengwa na mayanga je kampuni ya mayanga haina interest za magufuli?
 
Ukiwa na Rais masikini, mwenye roho ya uchoyo kama tabia, haya ndiyo tunashuhudia kwa mshangao!
Sasa mleta posti, tuambie kwa nini Mkapa hakufanya kujipendelea kijiji chake Lupaso Masasi.
Masasi kuna sehemu nzuri tu ya kujenga uwanja a ndege wa kimataifa, TANESCO jengo kubwa, Hospitali ya kimataifa pamoja na hoteli za kimataifa, lakini kwa dhamira ya uzalendo na kiasi hakufanya hivyo.
Kweli Kalemani aliyebaki ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Magufuri hakujenga hospitali kubwa kusini? Hakufufua bandari ya kusini? Magufuri ameacha majengo mengi nchi hii
 
Tusi uchekee upendeleo wa dhahiri na usio na tija.
Dar hapa kuna kata zina watu zaidi ya laki.
Ni heri kusema Sinza nao wajengewe jengo kama hilo la Chato, bado utaeleweka, kuliko watu elf 28,000 kuwajengea International Airport, Hospitali ya kimataifa na sasa madudu makubwa ambayo yangekuwa na faida zaidi katika uwekezaji wenye tija.
Kalemani ashitakiwe Kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Kama umeona pamejengwa vizuri hamia huko

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom