Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

Hivi wewe kumbe ni mruguru ndo maana mmehamishwa mjini hapo morogoro, akili hizi unatememea mtakuwa nalakufanya hapo endeleene kukaa huko milimani kama ngedere!
Jibu hoja sio unaharisha harisha tu humu bata jike wewe.
 
Sasa siku kukiwa na watu milioni wajenge lingine ? Limejengwa kubwa ili kukidhi ongezeko hapo baadae mnakua kama hamjasoma shule bhna
 
Huyu Kalemani, ndiye hasa aliyestahili kusimama kizimbani kule kwenye mahakama ya mafisadi na uhujumu uchumi, na kesi yake wala isingewaabisha akina Mahita.

TAKUKURU wanasubiri nini kushughulika na Kalemani?
 
Sasa siku kukiwa na watu milioni wajenge lingine ? Limejengwa kubwa ili kukidhi ongezeko hapo baadae mnakua kama hamjasoma shule bhna
Wewe ndiyo inaonekana, hata kama ulienda shule, lakini hazimo. Umetoka shule ukiwa umeishiwa hata kidogo ulichoenda nacho.

Kwa akili yako, wateja wakiongezeka, watakuwa wanalala kwenye hilo jengo?

Dunia nzima, matumizi ya majengo yanazidi kupungua kwa sababu mambo mengi yanafanyika kupitia electronic systems.
 
Acha ushamba wewe.
Unafikiri unaongea na vibaka wa pesa za umma wenzio.
Chato mkijenga SGR kwa pesa zenu, Airport ya Kimatsifa kwa pesa zenu, hospitali ya kimataifa kwa pesa zenu au hata hoteli za kimatsifa kwa pesa zenu watu 28,000 wa kamji ka Chato, hakuna atakayelalamika.

Lakini mwendazake kabambika watu makodi zulumat au kuwaibia wananchi ili azipeleke kujenga kwenu Chato.
Huo ni wizi wa kumfikisha mtu mahakamani.
nadriki kukuita kwamba huna akili,moshi kuna barabara za lami mpaka mashambani kuna population gani ambayo ime imfluence na kuna shughuli gani za kiuchumi ukiachilia mbali kwamba ni lango la watalii.Yote yaliyotekelezeka nchi nzima kipindi cha mwendazake huyaoni umekazania chato tu kwakua ndiko alikotokea hayalt,Miradi yote mikubwa iliyo achwa na inayoendelea kutekelezwa nchi nzima huioni waona ya chato tu.Mbona mimi kwetu katavi si semi ya chato kwakua yaliyofanyika nchini yanaonekana hayahitaji usomewe magazeti ndo uelewe, jaman watanzania tuache kushikiwa akili na wanasiasa tuchanganye na za kwetu.
 
Kwa hiyo kwa vile Kalemani and Co. wameona kuna lami Moshi vijijini wakaamua nao kulipiza kisasi kujenga jengo kuuubwa porini?.

Kweli Kalemani lazima ashitakiwe kwa uhujumu uchumi.
Akitumia utetezi huo mahakama ya mafisadi itamuelewa.
 
Hivi ile trillion 1.5 iliishia wapi? Huko sio kujilimbikizia mali kweli? Na vipi uwanja wa chato kujengwa na mayanga je kampuni ya mayanga haina interest za magufuli?
kwa taarifa yako hakuna kiongozi yoyote afrika ambaye hajajilimbikizia mali wote ni kama wa baba mmoja nawashanga mnaojaribu kuweka vicomments vya kipuuzi humu ndani.mbona baba zenu pia walikwapua mali za serikali na zikatumika kuwasomesha ss hatusemi.tunawajua humu ndani ambao baba zenu na ndugu zenu jinsi walivyokwapua mali zetu na wakazitumia kwa maslahi ya familia zetu lkn mkigiswa tu mnaaanza kuandamana humu ndani ni bora mkafunga midomo yetu mkaonekana mna busara kidogo ijapokuwa hamna.
 
Kama umeona pamejengwa vizuri hamia huko

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
hayo ni mawazo ya mkosa hoja kama wote watahamia huko na kwingineko atakaa nani?mbona watz wote hawajahamia dar pamoja nakuwa na fursa nyingi.huu ni mgawanyo wa makazi na kama ikitokea nikahamia huko so what?think big na wengine waliojenga makasri vijijini kwao mbona hamuwasemi kama si wivu tu wa kipumbavu.
 
View attachment 1944399

Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye mji wa wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.

Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.

Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.

Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.

YALIYOJIRI
Waziri Mkuu amekataa kupokea jengo la TANESCO huko Kyerwa, Kagera.
Waziri Mkuu kwa maslahi ya Tsifa tembelea jengo la Chato.
Ukubwa wa jengo una maanisha nini? Ina maana ukubwa wa jengo unapimwa kulingana na ubora wa huduma? Hii ni thrd ya kizembe!
 
Tusi uchekee upendeleo wa dhahiri na usio na tija.
Dar hapa kuna kata zina watu zaidi ya laki.
Ni heri kusema Sinza nao wajengewe jengo kama hilo la Chato, bado utaeleweka, kuliko watu elf 28,000 kuwajengea International Airport, Hospitali ya kimataifa na sasa madudu makubwa ambayo yangekuwa na faida zaidi katika uwekezaji wenye tija.
Kalemani ashitakiwe Kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Hiyo idadi ya watu ina uhusiano gani na ukubwa wa jengo? Ni upuuzi niliouona hadi chuo kikuu cha Dar, kujivunia jengo kubwa la maktaba miaka hii ya digital library, rubbish!
 
Hiyo idadi ya watu ina uhusiano gani na ukubwa wa jengo? Ni upuuzi niliouona hadi chuo kikuu cha Dar, kujivunia jengo kubwa la maktaba miaka hii ya digital library, rubbish!
Hiyo with time ni nyumba ya popo porini.
 
View attachment 1944399

Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye mji wa wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.

Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.

Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.

Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.

YALIYOJIRI
Waziri Mkuu amekataa kupokea jengo la TANESCO huko Kyerwa, Kagera.
Waziri Mkuu kwa maslahi ya Tsifa tembelea jengo la Chato.
Hawezi yeye ni sehemu ya upuuzi huo
 
Serikali naona imepangua uongozi wa TANESCO ikiwa ni bodi na watendaji wote.
Lakini hao ni kuwaonea tu.
Tatizo ni KALEMANI and Co.
Hao washitakiwe , kwa kweli walitumia vibaya dhamana yao ya uongozi.
 
Back
Top Bottom