Jengo la ghorofa kadhaa laanguka mjini DSM!

Solution ya matatizo mengi hapa Tanganyika kwetu ni "Quality Assurance". Kama tukiweza kuwa na misingi bora kwenye quality assurance tutaweza epuka mabalaa mengi.

Majuzi tulikuwa tukizungumzia helikopta mpya ya jeshi iliyoanguka ambayo mara zote ilikuwa ikiruka na mafundi. Kama tungekuwa tumejiwekea taratibu nzuri za kufanya repair (kitu ambacho ni kipengere kimojawapo cha quality assurance) basi tusingehitaji kuruka na fundi mara zote helikopta zetu mpya zilipokuwa zikienda angani.

Tukirudi kwenye issue ya leo; Kama nchi yetu ingekuwa na Quality Assurance officers ambao
(1) Wanapewa kazi bila ya kutumia undugulization ama kujuana ama kupewa priority watu wanaojipendekeza kwa mabosi.
(2) Wanajua kazi na majukumu
(3) Wanafanya kazi kwa ufanisi
(4) Wanalipwa vizuri kulingana na majukumu yao
(5) Wanafanyiwa periodic performance reviews kwenye utendaji wao wa kazi NA kufutwa kazi pale wanapoonwa kwamba hawatendi kazi zao kiufanisi
(6) Wanaweka priorities kwenye kutenda kazi na sio kwenye ushiriki wa semina na makongamano kila siku ili kujipatia pesa za kujikimu na maisha.

basi tungeweza kujihepusha na mabalaa kama hili la leo.

Kama niliyoyataja hapo juu (1-6) yangefuatwa, ujenzi wa gorofa ya pili ya jengo hili usingeidhinishwa kwani hao quality assurance officers wangeweza kugundua mapungufu mapema zaidi kabla ya janga hili kubwa kuja kutokea.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Incompetence kila idara, hapa mkuu Kuhani inafika mahala unakubaliana na NN kwamba sisi ndivyo tulivyo! It is terrible, tunaweza wapi sasa kama kila kona tunaharibu?
 
Incompetence kila idara, hapa mkuu Kuhani inafika mahala unakubaliana na NN kwamba sisi ndivyo tulivyo! It is terrible, tunaweza wapi sasa kama kila kona tunaharibu?

Mkuu Kitila,

At last unakubaliana na mimi kwamba jamii ya watanzania imeoza...
 
Mkuu Kitila,

At last unakubaliana na mimi kwamba jamii ya watanzania imeoza...

Kwa kweli tupo hoi. Lakini ukizama kutafuta chanzo utakipata, na kwa hakiki uongozi wa nchi utakuwa ni sehemu ya chanzo hicho. Unapokuwa huna misingi inayokuongoza katika maisha lazima utajikuta unazubaa. Hawa jamaa zako wa CCM wametufikisha pabaya maana sasa kama nchi hatujui tunataka nini, tupo tunazubaazubaa tu. Sasa kila mtu anafanya kazi kwa lengo moja la kupata pesa. Kazi sio kitu tena kinachotambulisha heshima na utu wa mtu; pesa ndio imekuwa kigezo cha kupima utu, heshima, hadhi ya mtu. Ndio maana wataalamu wetu hawaoni aibu kudhalilisha utaalamu wao wanachojua wao ni pesa.

Kwa vyovyote vile hilo jengo halijaanguka kwa bahati mbaya. Hao wanaoitwa ma-engineer walijua walichokuwa wanakifanya tangu mwanzo kwamba hii ni hatari lakini walijua kwa kufanya waliyoyafanya wangepata pesa nyingi zaidi kuliko kama wangefanya vile taaluma zao zinawaambia. Walikuwa wanategemea bahati kwamba jengo lingedumu hata kama ni kuanguka isingekuwa hivi karibuni.

Tungeweza kuanza na hili katika kujirudi. Hawa waandishi wote walioshiriki kujenga hilo jenga waoneshwa kwenye TV na waandikwe kwenye magazeti kila mtanzania awajue. Kisha hiyo inayoitwa bodi ya waandisi iwanyang'anye leseni zao za taaluma yao. Mwisho kabisa wafikishwe mahakamani ili wawajibike kwa uzembe na kuua bila kukusudia (au kwa kukusudia). Pengine tungeanza kushtuka na kuona kwamba kumbe maisha sio hela tu, kuna swala la kujiheshimu, kuwaheshimu wenzako, kujali na kupenda kazi yako na muhimu kabisa kutambua kwamba uzuri wa kitu hauwezi kuwa uzuri kama unakusaidie wewe peke yako bila wengine katika jamii.
 
lilipo anguka lile la chang`ombe nakumbuka iliundwa tume kukagua majengo mengi ya kariakoo.Nilisikia wanasema(sina chanzo) kuwa iligundulika majengo mengi pale kariakoo yamejengwa chini ya ubora.

Ingekuwa muhimu sasa ile tume itoe report yake tuione ili ikiwezekana hatua zichukuliwe kuzuia ajali zaidi.
 
FD,

zile nondo ulizoniuzia juzi juzi.....hivi zilikuwa tested? (joke)
 
Kama kichwa cha Tanzania siku zote kimeoza kwa miaka mingi, unategemea huku chini kuweje? Kote ni sawa tu na au zaidi. Mie NAOMBEA YAANGUKE ZAIDI NA ZAIDI. Natoa Rambi rambi kwa waliofiwa na WATAKAOFIWA. Huenda hata nikawa mimi siku hiyo lakini ndiyo nitakuwa nimetolewa KAFARA. Lakini hii inabidi itokee ndiyo tubadilike. MAJENGO MABOVU, NAKUAMURUNI KWA JINA LA MAFISADI NA MUANGUKEE, ANGUKENI NYIE KAMA SENENE wa Bukoba, ila sema tu Wahaya wa Dar hawatawaokota. Na Muanguke hadi muishe. Poromokeni na Kuyeyuka kama Snow ya Kilimanjaro. Heee, watu wa BIMA ongezeni ghalama kwa majengo haya maana HAWA WAZEMBE watakutieni hasara. Angukeni, angukeni , ANGUKENINIIIIIIII......
 
Niliwahi kukutana na rafiki yangu tuliyemaliza naye darasa la kumi na nne. Bwana huyu ni mfanya biashara aliyefanikiwa sana akiwa anamiliki maduka kadhaa ya jumla, mahoteli kadhaa ya kitalii, na kampuni kubwa sana ya ujenzi. Ni lazima nikiri kuwa rafiki yangu huyu ni kifaru sana tangu shuleni kwani ingawa hakutaka kwenda chuo kikuu, alikuwa amemaliza form six na division two ya juu sana ambayo ingemuingiza mlimani bila kelele wala mkwaruzo. Akaniuliza kuwa ninafanaya nini wakati huo, nikamjibu kuwa nilikuwa Mhandisi wa Wilaya mojawapo nchini. Bwana akanijibu kuwa pamoja na yeye kuacha kwenda chuo kikuu, inelekea kuwa kitaaluma tunalingana tu kwa vile anaijua sana kazi ya uhandisi wa majengo na anamiliki kampuni ya ujenzi ambayo imekuwa inapata tenda nyingi sana kutoka serikalini. Nikamuliza swali moja kuwa je kuna tofauti gani kati ya nguzo za nyumba ya ghorofa moja na zile za ghorofa kumi zenye eneo linaolingana. Akang'aa macho na kudai kuwa mimi nilikuwa naleta mambo ya vitabuni wakati yeye anajua ujenzi kwa vitendo.

Kuna taaluma zinazoonekana kuwa rahisi machoni mwetu lakini undani wake ni mgumu sana; jamani tujifunze kuthamini taaluma ambazo hatukusomea.
 
linza concrete design bado yupo...hawa jamaa hawana mtaji bali huyu linza ni engneer na anayo hiyo ofisi ....anachofaanya yeye na wengine kama huyu NK DECORATORS ni kuwa huwa wanakodisha leseni zao ili majina yao yabandikwe kwenye vibao kwa kuwa wao wanayo leseni but in the actual fact ni kuwa muwekezaji akishanunua hiyo rites ya kutumia jina lao anaendelea na hamsini zake anaajiri just a foreman asiye na elimu ...

kwanini!!!???

1]wawekezaji wengi hasa wahindi na waarabu [bora na sisi wamatumbi] wanaogopa kuwatumia ma engneer wasomi kisa ...GHARAMA KUBWA ZA KUWALIPA KUSIMAMIA.

2]WANAOGOPA KUTIMIA PROFFESSIONALS KWA MADAI HUFANYA GHARAMA ZA UJENZI KUPANDA MARA MBILI ZAIDI..kwa huzingatia vitabu...wakati hawa ma foremen wa mitaani hufanya kadiri anavyotaka bosi ukimwambia ratio ni 1:3 ...atafanya hivyo ....hata kama ratio ni 1:1.....ukimwambia atumie waya wa bei nafuu definattelly atatii...

naweza kukupa mfano rais ,pale kariakoo hakuna gorofa lenye lift,wala njia za kupita walemavu wala fire exit ..hakuna....ghorofa kumi bila lift...hakuna sheria wala nchi wanayojenga hivi ...labda INDIA.....

GHARAMA ZA MAGOROFA MENGI KARIAKOO NI CHINI SANA....WAARABU AU WAHINDI PALE WANATUMIA MILIONI 800 TU KUJENGA JUMBA LA GHOROFA KUMI...WAKATI KIUKWELI UKIFUATA RATIO NA STANDARDS BILA BILIONI 3 HUWEZI KUJENGA JENGO LA GHOROFA KUMI ...TENA LA KAWAIDA SANA AMBALO HALINA MADOIDO YOYOTE.....UNIFORM FLOORS ....YAANI SIO ZELE COMPLEX AMBAKO KILA FLOOR INAKUWA NARAMANI TOFAUTI........
 
According to a billboard on the site of the collapsed building, the main contractor was listed as N.K. Decorators, the architect as JEAM Associates and the structural engineer as CODEC. The client is McSoms Investment Ltd.

Point noted..... who own Kagoda? who took the money from CRDB, who changed it from Tshs to USD? Who paid USD 20m of Kagoda to Mwanyika? take a break and do your homework..... Wacha waendelee kutuzuga na LAANA INAZIDI KUWASHUKIA na bado
 
Last edited:

Halisi umesema mambo mazito haya .Tafadhali tuweke sawa .Ina maana kwenye jengo yuko katika chain hii ya Kagoda ?
 
..
GHARAMA ZA MAGOROFA MENGI KARIAKOO NI CHINI SANA....WAARABU AU WAHINDI PALE WANATUMIA MILIONI 800 TU KUJENGA JUMBA LA GHOROFA KUMI...WAKATI KIUKWELI UKIFUATA RATIO NA STANDARDS BILA BILIONI 3 HUWEZI KUJENGA JENGO LA GHOROFA KUMI ...TENA LA KAWAIDA SANA AMBALO HALINA MADOIDO YOYOTE.....UNIFORM FLOORS ....YAANI SIO ZELE COMPLEX AMBAKO KILA FLOOR INAKUWA NARAMANI TOFAUTI........

...na iwapo hayo maghorofa wanayakatia bima, fikiria mabilioni watayokuja faidika nayo kwa ulaghai huo baada ya majanga kama haya!

Point noted..... who own Kagoda? who took the money from CRDB, who changed it from Tshs to USD? Who paid USD 20m of Kagoda to Mwanyika? take a break and do your homework..... Wacha waendelee kutuzuga na LAANA INAZIDI KUWASHUKIA na bado
The client is McSoms Investment Ltd ....

Halisi umesema mambo mazito haya .Tafadhali tuweke sawa .Ina maana kwenye jengo yuko katika chain hii ya Kagoda ?
Hapo haina haja hata ya kuandika zaidi... Habari yenyewe ndiyo hiyo!

Labda tupate updates za Kagoda juma linaloanza!
 
main contractor was listed as N.K. Decorators
Mimi nadhani kuwa Decorators ni wapambaji, je wapambaji nao wanajua kujenga maghorofa au hilo ni jina tu?
 
Collapsed Dar building: Contractor was not properly licensed

-Company officials, building owners all nowhere to be seen

SEBASTIAN MRINDOKO
Dar es Salaam

THERE is a looming scandal in the collapse of a 10-storey building in Dar es Salaam’s central business district on Saturday, following revelations that the contractor involved is not licensed to undertake construction projects of such magnitude.

THISDAY investigations have established that city-based N.K Decorators Limited is in fact licensed by the Contractors Registration Board (CRB) as a Class Five contractor, and is therefore not permitted to handle any building works valued beyond 300m/-.

According to one independent local contractor interviewed by THISDAY, it is ’’virtually impossible’’ for a Class Five contractor to be hired as the main contractor for the construction of a 10-storey building.

’’Why was a Class Five contractor allowed to undertake a construction project that is clearly worth billions (of shillings)?’’ he queried.

’’High-rise buildings of this type are normally handled by Class One contractors, who are deemed to have the necessary skills, equipment and competency to handle such major projects.’’

N.K Decorators, whose registered office is located on plot number 832 Senegal Street in Upanga, is listed by the CRB under registration number B5/0117/11/2000.

There are seven classes of contractors identified by the Board, with Class One contractors the only ones allowed to undertake construction projects of any magnitude.

Other classes of contractors with stated limits of the value of building projects they are allowed to handle are Class Two (up to 1.2bn/-), Class Three (900m/-), Class Four (600m/-), Class Five (300m/-), Class Six (150m/-), and Class Seven (75m/-).

N.K Decorators officials were not immediately available for comment yesterday and the owners of the collapsed building, McSoms Investments Limited and local businessman Mohsin Somji, were also nowhere to be seen.

This is against the background of spreading suggestions that shoddy construction work as well as regulatory loopholes could have been the root causes of the latest building collapse in the city.

Speaking separately to THISDAY in Dar es Salaam yesterday, a number of independent construction industry experts voiced their concerns about the ethical standards of all professionals involved in this particular project, from the architect, engineers and down to consultants, regulators and city building inspectors.

’’In the construction process of such high storey buildings, there are several rules that have to be followed properly, and if not the result is likely to be such tragedies,’’ said CRB contractor Mashuhuko Nkuba.

He mentioned some of the rules as properly studying the plot on which the building is to be erected, and conducting a proper tendering process for the work including architectural designs and actual construction.

According to Nkuba, after all the procedures have been fulfilled, the CRB gives its stamp of approval for the project to begin.

He said at each stage of the project, inspections and testing should be conducted and an approval given before moving on to the next stage.

Commenting on the competency of NK Decorators Limited, Nkuba said since the company was listed as a Class Five contractor, it could only have been allowed to undertake one phase of the tender that did not surpass 300m/- in value.

It has been established that two other city-based firms, Jeam Associates and CODEC, were hired as architect and structural engineers respectively for the project.

Architects and Quantity Surveyors Registration Board (AQRB) vice-chairman Amedeus Chaky also said there were indications that some procedures were ignored in the process involving construction of the building.

He said there were too many departments mandated to issue orders on such a project, which could cause confusion, in that one might say yes while another might say no.

Giving an example, Chaky noted that although CRB may refuse to approve documents related to a construction project, the Ilala Municipal council or even the Ministry of Infrastructure might go ahead and approve the same documents.

?It is sad to observe that the Ilala Municipal engineer had allowed the building construction to continue even after cracks had already started to appear,? he said.

The AQRB vice-chair also noted that some project owners do prefer to use low-profile contractors in order to cut costs, without foreseeing the hazards that might occur if some procedural steps were skipped.

According to one Ajay Laxman whose house situated next to the collapsed building was also damaged, the owner of the building was in the vicinity up to the moment when it collapsed, but apparently disappeared immediately afterwards.

Laxman said he himself had been left impoverished by the tragedy and currently he has no shelter for his family. ’’Although my family is safe, I have nothing left?only good Samaritans have come to our rescue so far,’’ he said.
 
Collapsed Dar building: Contractor was not properly licensed

-Company officials, building owners all nowhere to be seen

SEBASTIAN MRINDOKO
Dar es Salaam

THERE is a looming scandal in the collapse of a 10-storey building in Dar es Salaam's central business district on Saturday, following revelations that the contractor involved is not licensed to undertake construction projects of such magnitude.

THISDAY investigations have established that city-based N.K Decorators Limited is in fact licensed by the Contractors Registration Board (CRB) as a Class Five contractor, and is therefore not permitted to handle any building works valued beyond 300m/-.

According to one independent local contractor interviewed by THISDAY, it is ''virtually impossible'' for a Class Five contractor to be hired as the main contractor for the construction of a 10-storey building.

''Why was a Class Five contractor allowed to undertake a construction project that is clearly worth billions (of shillings)?'' he queried.

''High-rise buildings of this type are normally handled by Class One contractors, who are deemed to have the necessary skills, equipment and competency to handle such major projects.''

N.K Decorators, whose registered office is located on plot number 832 Senegal Street in Upanga, is listed by the CRB under registration number B5/0117/11/2000.

There are seven classes of contractors identified by the Board, with Class One contractors the only ones allowed to undertake construction projects of any magnitude.

Other classes of contractors with stated limits of the value of building projects they are allowed to handle are Class Two (up to 1.2bn/-), Class Three (900m/-), Class Four (600m/-), Class Five (300m/-), Class Six (150m/-), and Class Seven (75m/-).

N.K Decorators officials were not immediately available for comment yesterday and the owners of the collapsed building, McSoms Investments Limited and local businessman Mohsin Somji, were also nowhere to be seen.

This is against the background of spreading suggestions that shoddy construction work as well as regulatory loopholes could have been the root causes of the latest building collapse in the city.

Speaking separately to THISDAY in Dar es Salaam yesterday, a number of independent construction industry experts voiced their concerns about the ethical standards of all professionals involved in this particular project, from the architect, engineers and down to consultants, regulators and city building inspectors.

''In the construction process of such high storey buildings, there are several rules that have to be followed properly, and if not the result is likely to be such tragedies,'' said CRB contractor Mashuhuko Nkuba.

He mentioned some of the rules as properly studying the plot on which the building is to be erected, and conducting a proper tendering process for the work including architectural designs and actual construction.

According to Nkuba, after all the procedures have been fulfilled, the CRB gives its stamp of approval for the project to begin.

He said at each stage of the project, inspections and testing should be conducted and an approval given before moving on to the next stage.

Commenting on the competency of NK Decorators Limited, Nkuba said since the company was listed as a Class Five contractor, it could only have been allowed to undertake one phase of the tender that did not surpass 300m/- in value.

It has been established that two other city-based firms, Jeam Associates and CODEC, were hired as architect and structural engineers respectively for the project.

Architects and Quantity Surveyors Registration Board (AQRB) vice-chairman Amedeus Chaky also said there were indications that some procedures were ignored in the process involving construction of the building.

He said there were too many departments mandated to issue orders on such a project, which could cause confusion, in that one might say yes while another might say no.

Giving an example, Chaky noted that although CRB may refuse to approve documents related to a construction project, the Ilala Municipal council or even the Ministry of Infrastructure might go ahead and approve the same documents.

?It is sad to observe that the Ilala Municipal engineer had allowed the building construction to continue even after cracks had already started to appear,? he said.

The AQRB vice-chair also noted that some project owners do prefer to use low-profile contractors in order to cut costs, without foreseeing the hazards that might occur if some procedural steps were skipped.

According to one Ajay Laxman whose house situated next to the collapsed building was also damaged, the owner of the building was in the vicinity up to the moment when it collapsed, but apparently disappeared immediately afterwards.

Laxman said he himself had been left impoverished by the tragedy and currently he has no shelter for his family. ''Although my family is safe, I have nothing left?only good Samaritans have come to our rescue so far,'' he said.

Definitely the City Engineer blundered if was responsible for authorising the contractor. But how well staffed/equipped is his office in overseeing all construction works going on in the City? Though it is another episode of poor building practices in TZ, it should also be a wake up call to the legislators gathering in Dodoma, to enact laws that will safeguard wananchi from these rich individuals and their shoddy contractors, who know or care little about engineering, science and the forces of nature.
 
Maanguko ya aina hii nayasikia sehemu nyingi tu duniani ikiwemo MAREKANI. Sidhani kama ni SAHIHI kuwashambulia Wana-Taaluma wetu moja kwa moja bila kuhusisha mambo mengine kama makosa ya kawaida ya kibinadamu. Tusisitize kuzingatia TAALUMA na MAADILI wakati wote.
 
Back
Top Bottom