BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 5,897
- 14,183
Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo!
Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za siasa tofauti kabisa.
Zama za kupiga blah blah na kudoea vijisenti vya maokoto. Hakuna matokeo yoyote zaidi ya soga tu.
Kama midahalo inaleta maendeleo, basi jenerali na wenzake wa enzi za mkoloni tungeona matunda yao.
Matunda waliyotuachia ni TOZO na Maji ya Vidimbwi. Midahalo hiyo.
Vijana wa sasa wako bize na mambo mengi. Kwanza hata wakiongea hawasilikilizwi. Wako bize wanasaka maokoto.
Huyu Jenerali na stori zake za kale za Nyerere atupishe. Muda wake umeshamtupa mkono anatamani kurudi nyuma aendeleze ubabaishaji wa midahalo ya TANU.
Na mwisho kabisa Mama anaupiga mwingi! Nani kama mama!
Midahalo ya kazi gani? Kila kitu kinaenda ipasavyo! Tukae tuanze kufoka foka na kupiga porojo tunapoteza muda.
Enzi za TANU zimeshapita. Hii ni Tanzania mpya, Tanzania ya Mama.
Kwako Jenerali na wafuasi wenzio wa mkoloni.