Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Nyani Ngabu ni ile tu kumsemea negative kwa mtu ambaye anasubiri mazishi next week.Ingetosha kusubiri kidogo maumivu ya wapendwa wake yapoe.Inawezekana kabisa kuna anaowapelekea meseji hii.Lakini not at this time kwa mtu ambaye ni public figure kama Ulimwengu.
Still, bado sijaona kibaya alichokisema!
 
Nyani Ngabu ni ile tu kumsemea negative kwa mtu ambaye anasubiri mazishi next week.Ingetosha kusubiri kidogo maumivu ya wapendwa wake yapoe.Inawezekana kabisa kuna anaowapelekea meseji hii.Lakini not at this time kwa mtu ambaye ni public figure kama Ulimwengu.
Mkapa mwenyewe kawafundisha ukweli na uwazi.

Kwa hiyo wanatekeleza somo lake tu.
 
Ulimwengu alikuwa matatizo yake binafsi sasa anataka kuyafanya ni ya kitaifa. Aache fitina, unafiki na upuuzi usiyo na maana.

Huyu Ulimwengu ni mtu wa kuchochea mambo na mpenda kuona Tanzania imegawanyika na iwe kwenye vurugu kama walikotoke wazazi wake.
 
Ntamkumbuka kwa
1: kufuta ada shule ya msingi
2: kufuta kodi ya kichwa(iliwafanya wazee wetu kukimbia miji yao)
3: MMEM na MMES (watoto wengi sana wakaanza kwenda mashuleni)
4: kufuta ushuru wa baiskeli
5: soeech za mwisho wa mwezi ambazo kiukweli zilitupa matumaini ya wapi tunaelea kama Taifa

R. I. P Mzee Ben
 
Sarcasm is not your strong suit now, is it?
No, it’s not.

And I’ve never claimed to be a maven at it nor pretended to be one, either.

Rather than make an ass of u n’ me, that’s why I asked.

Am I wrong to ask?
 
RIP BWM. Najua uliomba toba kea ajiri ya makosa ya ubinafsishaji. Kusema ukweli, hakujali kabisa wazawa. Sijui tatizo lilikuwa nini?
 
No, it’s not.

And I’ve never claimed to be a maven at it nor pretended to be one, either.

Rather than make an ass of u n’ me, that’s why I asked.

Am I wrong to ask?
No.

I was pointing out the pitfalls of pious pretensions and the Swiss cheese type of holes it exposea one to.

I gotta give it up to Big Ben for at least,where he felt like it, acting like he cared and giving us that entire charade of truth and transparency. At least some people used that wittingly as an insurance policy to expose some shenanigans in his administration, particularly privatization.

There was an incident when a senior civil servant walked a thin line between deference and chastising the adm8nistration, in a very artful way. Reading between the lines, the guy had insulted Mkapa. So, there was an impromptu meeting at State House. Mkapa's hangers in advised Mkapa to fire this senior civil servant. Mkapa was wise enough to say no. This guy employed high oratory and bought an insurance policy by prefacing his words by saying he only felt free to say what he said because he knows Mkapa likes to hear the truth, not some rosy rhetoric.

So that whole charade helped in some way.

The current usurpers do not even bother to put a shiw. They are unwashed country bumpkins whose ampits stink. They dont even use cologne. They fart in evelators and pee in pools.

Tacky is not even the word.
 
hakika kuna watu mnajua kingereza nikiwa mkubwa ntakuwa kama nyie.
 
Nikaenda mpaka pale nikafanya drop off kwa mchizi wangu. Mimi nilichukulia kitu simple tu kwa sababu mchizi wangu anajua mimi kichaa wake tangu mtu yeyote hajajua Mkapa atakuwa rais. Basi mimi nikaona easy tu. Kesho yake ofisini ikawa bonge la story. Yani wewe Kiranga umeenda nyumbani kwa rais kama unaenda kwenu?
Story za huyu mzee zinakaushamba flani hivi, ka kujikweza, sijui anatuonaje?? yaani kupitia tu Ikulu iwe story Ofisini?? tena basi wa-Bongo? watu wamekesha Ikulu Wakinywa na kula mara nyingi tu! wametumia pipa la Nyerere tangu wakiwa Shule, wamecheza Bao mwitongo na mchonga Lkn hayo hayakufika shuleni wala cha ofisini!

Hawa ni wale malimbukeni mabinamu wa Bush wana viherehere, wamekuja mjini kumtembelea mjomba hivo wanashangaa kila kitu, Gas cook anaita Radio hii haiongei siku hizi? kila kitu ni kushangaa tu ndi type hii Shamba sana Mfyyyxxx!
 
a hata mchizi wangu nilikuwa namwambia, wakati baba yake rais. Yani tunakaa maskani, picha ya baba yake iko juu, namwambia "ondoa picha ya mshua hapa maskani. Mshua wako mnoko tu". Anacheka. Machizi wengine wananiambia acha picha ya Mzee wetu.Na yeye mchizi wangu anajua msimamo wangu. Na, to his credit, aliuheshimu.
Uongo watoto wa Rais time table zao ziko tight hawawezi kukaa vijiweni ki-idle hata siku moja, hata walevi wananywea mbali,
Ofisini wakijua una contact na state House wanakuogopa kimya kimya hata Boss. sana wata ku point kwa vidole na kusemezana kisiri ''usiiseme vibaya serikali kwa huyo'' kamwe haiwezi kuwa story eti wakwambie unaenda kama kwenu!!!! Loool! we mzee? Unazeeka vibaya!

Maskani picha ya babake iko juu ndo nini? walio
 
Story za huyu mzee zinakaushamba flani hivi, ka kujikweza, sijui anatuonaje?? yaani kupitia tu Ikulu iwe story Ofisini?? tena basi wa-Bongo? watu wamekesha Ikulu Wakinywa na kula mara nyingi tu! wametumia pipa la Nyerere tangu wakiwa Shule, wamecheza Bao mwitongo na mchonga Lkn hayo hayakufika shuleni wala cha ofisini!

Hawa ni wale malimbukeni mabinamu wa Bush wana viherehere, wamekuja mjini kumtembelea mjomba hivo wanashangaa kila kitu, Gas cook anaita Radio hii haiongei siku hizi? kila kitu ni kushangaa tu ndi type hii Shamba sana Mfyyyxxx!

We are reminiscing on the Mkapa years.

Mimi mtu social natoa kumbukumbu zangu kama ninavyoona sawa mimi.

Na sijawahi kuomba upende ninavyoandika.

Kuandika ninavyotaka mimi, bila kujali kama unaona ushamba au ujanja, ndiyo kitu muhimu kwangu.

Ukiona hupendi ninavyoandika, unaruhusiwa kuniweka ignore list. Usione kabisa ninachoandika. Usitake kunipangia jinsi ya kuandika.

Ila, inaonekana unapenda sana kusoma ninayoandika ndiyo maana huwezi kujizuia kusoma na kujibu.

Na wewe unaruhusiwa kusimulia stories zako, hujakatazwa.

Ndiyo point nzima ya forum, kama ulikuwa hujui.
 
Uongo watoto wa Rais time table zao ziko tight hawawezi kukaa vijiweni ki-idle hata siku moja, hata walevi wananywea mbali,
Ofisini wakijua una contact na state House wanakuogopa kimya kimya hata Boss. sana wata ku point kwa vidole na kusemezana kisiri ''usiiseme vibaya serikali kwa huyo'' kamwe haiwezi kuwa story eti wakwambie unaenda kama kwenu!!!! Loool! we mzee? Unazeeka vibaya!

Maskani picha ya babake iko juu ndo nini? walio
Mkuu watoto wa rais km JK aliyepita ? Wale akina Ally,Riz ,Miraji ,Khalifa ndio walikua na ratiba tyt ? au watoto wepi hao unaowasema ?
 
Back
Top Bottom