Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

wacha iwaume amesema yaliyokweli yanayomhusu
Hakuna Cha kweli alichosema huyo mtu wenu...amesema kitu Cha uongo kabisa..Kwamba eti Ben hakuwa mmoja wa wanahabari? Wapi na wapi? Yeye aliyesema hayo atuambie ni chuo gani Cha uandishi wa habari alichosomea...Baadhi tunajua kwanini huyo mtu wenu amesema hivyo..sisi wengine tunajua fika kuwa siku ya Kwanza ambayo Ben alitangaza Nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano ya TZ huyo mtu wenu alikuwa mmojawapo wa waliomsindikiza Ben..tafuteni picha ya wakati huo...Ila sijui huyo mtu wenu alitarajia kupata Nini...pengine hakupata alichotarajia...sijui hapa mnafiki ni Nani ?
 
Raw I'ma give it to ya, with no trivia
Raw like cocaine straight from Bolivia

-Wu Tang Clan "Da Mystery of Chessboxin'"

Disclaimer. This post is unguarded. Straight from the heart. Kama alivyonifundisha Chinga One uwazi. Mpaka leo.

Labda sikuwa wazi.

Nilikusudia kumaanisha kwamba nilitegemea wanaomsema Ulimwengu wangekuja na fact. Mimi nipo kum support Ulimwengu.

Mimi Mkapa nimempinga tangu 1995. Nampinga kijiweni Upanga, nampinga huku mtoto wake akiwa hapo kijiweni. Kwa hivyo, mimi si mtu wa kumtetea Mkapa JF kisiasa.

Mimi Mkapa ni Mzee wangu. I am talking ile kukaa na watoto wa nyumbani kwa Mkapa tukiwa wadogo wananilalamikia Baba yao mnoko sana mezani kwenye chakula haruhusu kunywa maji mpaka mtu amalize chakula. I am talking mtoto wa Mkapa 1995 kuniambia "mmemchagua huyu rais, mama yangu, mtakoma". Mengine mengi sitaki kusema kwa sababu ni ya kifamilia zaidi.

Kwa hiyo huyu ni Mzee wangu. Na kama Mzee wangu, siku zote nitamuhifadhi. Mengi yake mabaya nitayaacha. Kwa sababu he deserves that break. Everybody deserves a break when they die. But, on tye othe r hand, Mkapa is not "everybody". He is "Mr. Mention". Ediror in Chief. Or, Chief censor as Ulimwengu would have it.

Mkapa nilimchukulia kama Mzee tu wa mtaani. Mpaka siku moja nilikumbushwa huyu kashakuwa mtu tofauti, si yule Mzee wa Sea View aliyekuwa anawapa access ya fax machine yake kabla ya email.

Mkapa alitegemewa na nchi miaka mingi sana kabla hajawa rais.

Ukisoma mpasuko wa kisiasa na ugomvi kati ya Nyerere na Kambona leo jina la Mkapa novigumu kuliona. Lakini kiukweli Nyerere alikuwa anaona Kambona ni rafiki yake tu, Mkapa ndiye aliyempa intelligence zote Nyerere mpaka Nyerere akabadili mawazo kuhusu Kambona.

Ukisoma jinsi Henry Kissinger, US Secretary of State, alivyobishana sana na Nyerere, hususan kuhusu uhiru wa Zimbabwe, utajua sana umahiri wa Nyerere,lakini hutakua kwamba umahiri wa Nyerere ulikaa juu ya kigoda cha umahiri wa Mkapa aliyeandika ripoti zote.

Leo nawamiss sana wazee wangu kina Hashim Mbita, Paul Sozigwa,Nsa Kaisi na Philemon Mahiga waliofanya kazi karibu na Mkapa. Maana kawaida ningewapigia simu niongee nao wanioe story zaidi za miaka ya zamani na kazi zao, lakini, bahati mbaya sana, walishatangulia.

Let's recollect the Mkapa years. Mimi nilikuwa a young whippersnapper na control Dar es salaam siku hizo.

Kuna siku nilitoka ofisini mjini, kuna kitu nilikuwa nampelekea mchizi wangu pale kwa Mkapa Sea View. Nilikuwa na drop off something ilikuwa akipate kabla ya jioni muhimu sana.Basi nikamchukua dereva wa ofisini l, alikuwa na some salespeople, katika mizunguko ya mjini, nikamwambia I wanna make a quick stop Sea View (hata sikusema Sea View kwa Mkapa, to me that was irrelevant) five minutes halafu tutaendelea na safari zetu.

Nikaenda mpaka pale nikafanya drop off kwa mchizi wangu. Mimi nilichukulia kitu simple tu kwa sababu mchizi wangu anajua mimi kichaa wake tangu mtu yeyote hajajua Mkapa atakuwa rais. Basi mimi nikaona easy tu. Kesho yake ofisini ikawa bonge la story. Yani wewe Kiranga umeenda nyumbani kwa rais kama unaenda kwenu?

So Mkapa Mzee wangu.If I want to, I can draw a family connection. But I won't. Lakini, kuna mambo alifanya sivyo.

Na mimi najivunia kuwa mtu real, nasema mawazo yangu. Hata kama Mkapa mzee wangu.

Na hata mchizi wangu nilikuwa namwambia, wakati baba yake rais. Yani tunakaa maskani, picha ya baba yake iko juu, namwambia "ondoa picha ya mshua hapa maskani. Mshua wako mnoko tu". Anacheka. Machizi wengine wananiambia acha picha ya Mzee wetu.Na yeye mchizi wangu anajua msimamo wangu. Na, to his credit, aliuheshimu.

Kuna siku polisi walikuja maskani. Tukaona polisi kama 25 hivi wanakuja. Nikawaambia watoto, kama mnaogopa polisi, ondokeni. Ngoma ya watu wazima hii.

Polisi wakafika maskani. Wakaanza zao, nyie mnakaa wapi?

Mchizi mmoja akawawakia. Hivyo ndivyo mnavyosalimia watu? Ndivyo mlivyofundishwa kusalimia watu hivyo?

Wakayeyusha. Halafu wakaanza kurudia swali. Kwa mmoja baada ya mwingine. Wewr unakaa wapi? Wanajibiwa "Hapo". Wewe? Wanajibuwa "hapo". Wakamfikia mchizi. Wewe? Akawajibu "Kwa Ben". Ikabidi Polisi wamshangae kwanza. Wakamuuliza, kwa Ben? Ben gani huyo? Akawajibu "Ben hiyo hiyo wa Jamhuri ya Muungano, kwani qewe unamjua Ben gani mwingine?

Polisi wakawa kama hawaam8ni hivi.

Mmoja wao akasema "Huyu namjua mtoto wa Mkapa, nimemuona nyumbani pale nilivyokwenda kulinda".

Basi hapo hapo tuka9na wale polisi wamekuwa wadogo wanaanza kama kutuomba msamaha. Wakawa wanasema "Mnajua wazee nibkatika kujuana tu, hakuna ubaya kujuana blah blah". Tukawa tunacheka sana walivyobadil8ka ghafla baada ya kusikia hina la Ben Mkapa.

Hiyo kumbukumbu ya Ben Mkapa siwezi kuisahau maishani nwangu. Ilinionesha unafiki wa polisi wa Bongo. Baada ya hapi polisi waliweka alama kwenye ramani yao kwamba kijiwe hiki msiguse kuna watoto wa rais wanakaa hapa.

Turudi kwenye rambirambi.

Watu wengi wanatoa rambirambi kiutamaduni.

Mimi Mzee wangu (Baba Mzazi) alikuwa serikalini siku hizo, na alimpaka Mkapa kisiasa kwenye ubinafsishaji. Na baada ya speech ya mzee wangu kumpaka Mkapa kwenye ubinafishaji, kesho yake, mtu wa kwanza kumpigia sifa mzee wangu kumsifu kwa kutoa speech ile, alikuwa Magufuli, enzi hizo waziri.

Mkapa namuheshimu sana kwa usomi wake, kwa kuweka taasisi kisheria kuanzia TISS mpaka TRA, kwa kuonesha mfano wa kurudisha seriousness kwenye urais baada ya "ruksa",kwa kurudisha heshima ya Tqnzania kimataifa pale iliposhuka, kwa kuandika mambo na kuweka msisitizo katika usomi.

Lakini, nasimama na Ulimwengu 90% katika aliyoyasema. Pengine kwa sababu namjua zaidi Mzee Mkapa kama Mzee wangu na si rais wa nchi tu.

It's one thing if you just read about Mkapa as the president, and quite another if you see your friend jump at the table of Salender Bridge Police due to home frustrations, you hear him tell escapades of his father's drunken stupors.

Mazee alinipa story kuna siku watu wa usalama walikuja nyumbani Sea View wanamtafuta Mkapa. Hapo Mkapa Waziri wa Mambo ya Nje. Rais Mwinyi. Rais anaenda ziara Saudi Arabia, anaenda na Mkapa. Rais yuko airport, Mkapa hajulikani alipo. Watu wa Usalama wameenda nyumbani Sea View wamemkuta mchizi wangu. Wanamtafuta Waziri. Waziri kashavunja itifaki, alitakiwa kuwa airport anamsubiri rais. Lakini sasa rais yupo airport anamsubiri Waziri.

Usalama wamefika nyumbani Sea View, lakini hawajui Waziri Mkapa yuko wapi.

Mchizi wangu akazama chumbani.

Kuzama kamkuta Mkapa kalewa Scotch Whisky tilalila, mchana kweupee, kalala sakafuni.

Ikabidi mchizi wangu apate shock, alifikiri mshua kaanguka kwa ugonjwa, kumsogelea akasikia harifu ya kinywaji.

Akamwambia kuna watu wa Usalama wanakutafuta wanasema kuna safari.

Ikaitwa helicopter ikamuwahisha airport.

Rais Mwinyi kwa kuwa alimpenda sana Mkapa, kwa kuwa Mkapa alikuwa mchapa kazi mzuri na anajua sana mambo ya diplomasia ya kimataifa na historia ya Tanzania, alifumbia macho makisa kama hayo.

Sasa hiyo story moja tu.

Sitaki kujaza zaidi stories za Nyerere alivyosuluhisha ndoa ya Mkapa kwa kumwambia Mkapa "sisi Wakatoliki hatunabtalaka, ongea na mkeo tumalize tofauti, nchi haina historia ya mtu mwenye talaka Ikulu".

So, mimi namjua Mkapa kama mzee wangu, na ukaribu umenionesha mazuri yake mengi na mabaya yake mengi.

Si mtu wa kumuimbia sifa tu kama vile namsoma magazetini tu.
Duuuuuuh hatareeeeh san mmmmmh
 
Asante kwa kukumbusha ,Net group solutions sijui waliishia wapi. Nakumbuka mkapa Alienda Buzwagi akapewa bonge dhahabu na kwenye tv tukaona. Mambo ya kampuni za kuchimba dhahabu ndo kipindi cha Mkapa. Resolute wametuachia mashimo tu pale Nzega.

Nyumba za serikali ndo usiseme. Sasa wanahangaika kujenga nyumba mpya wakati pale Dodoma Uzunguni waliuziana. Nilishangaa juzi Magufuli anasema atoe pesa za kujenga nyumba za wafanyakazi. Wamesahau kabisa waliuziana nyumba za umma nchi nzima.
Not Buzwagi ni Geita Gold Mining, Mkapa na Magu wake! Wametoka mbali sana hawa wajomba!

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtoto wa kiume wa Mkapa anaitwa Nicolaus (sina uhakika na jina) nilikuwa namkuta kona fulani hivi mara kwa mara weekends, na demu wake yuko mbwii! ''Karithi'' kwake huenda.
 
Nina brother wangu,was a university President enzi Mkapa akiwa Waziri wa Elimu ya juu,Brother used to tell story za Ben kuhusu kukata maji! Akiwa President Jamaa alikua anatoroka Ikulu kwenda kukata maji Salender Bridge Police pale,na kuna siku alikua anatoka safari ughaibuni,kashuka kwenye ndege yuko maji mbaya!

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Duh!

Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!

Rais Mkapa alikuwa Mwanasiasa km walivyo wanasiasa Duniani kote! W/Habari walitakiwa kum-challenge Rais on the spot kwa hoja za kidiplomasia tena kwa kutumia Lugha hiyohiyo ya kiingereza. ili kwamba Rais ajifunze kutoka kwao na wao wajifunze toka kwake, ndivyo wanasiasa tunataka ivo!!!. ina maana hapo Rais alikuwa anatafuta cream (waandishi vichwa) wa kuambatana nao katika ziara mbalimbali Duniani, kitu ambacho hakukiona ktk kundi la akina Ulimwengu.

Kusema alidharau waandishi wa habari wa Tanzania au Africa siyo ya kweli, bali waandishi wote akiwemo Ulimwengu walimuhofia katika hali ya kujidharau kabla, walimkwepa pale walipo kuwa wanakabiliana na Rais Mkapa, hata katika maongezi ya kawaida iliwapa wakati mgumu.

Angalia mfano rahisi hapo nyumbani ukiendesha semina za wafanya kazi ukihutubu kwa kiingereza fluently hawana maswali, tena wanakukwepa! ndiyo type ya kina Ulimwengu! kwa nini usimseme Mkapa akiwa hai kwa njia nzuri tu japo achomekee kimahili? ni wazi uliona atawaumbua mmojammoja!

Kuna watu hata Lugha mama zao hawazijui, lkn wamo! sembuse kiingereza. English Grammatical Constructive hata Trump haijui yote, kama kilivyo kiswahili kwa Magu, na yeye Mkapa alikuwa hajui yote! wewe mwandishi Ulimwengu ulishindwa kumchezesha Mkapa Grammar ya Kiingereza vizuri mpaka ukampoteza? apparently ulikuwa hujui kweli kwa wakati huo! yeye alikuwa juu zaidi, kimya manake ndiyo! lkn sasa kwa sababu umesha jiendeleza waweza ongea! kubali tu alikusaidia!

Tuseme labda Ulimwengu yuko sahihi sawa! aliwadharau waandishi hao kuwa hawajui kiingereza!!! ulijuaje ya Moyoni mwake? wao walimuonyesha vipi Rais Mkapa kuwa wana kijua? ina maana walipiga kimya kwa muda wa miaka 25, wakati Mkapa akiwa Rais mpaka leo, ni wazi kwamba Mkapa alikuwa sahihi! hatukusikia Generali kujitetea kwa niaba ya wenzao juu ya umbumbu wa kusingiziwa wa waandishi wa habari, dhidi ya Rais,

Na wote humu mnajua, Duniani hakuna vyombo vyenye nguvu za kujitetea pale wanapo hisi kuonewa kudharauliwa, kubezwa, na Wanasiasa km vyombo vya Habari, kama mimi ni muongo muulizeni Makonda!

Point ya Kusema kwamba alienda kuchuja habari kwenye magazeti ya serikali Jibu hapa ni ''Yes! alichuja! ndiyo maana halisi ya Propaganda ya kisiasa Duniani kote! kama umesoma Diplomasia unajua haya! umeamua kutulisha matango pori maksudi?! hapa na wewe umechujisha aliye kuwa na kuhoji nadhani alikuwa amelewa.

Hii ina Maana walienda kusoma kimya kimya na kujiendeleza upya km Ulimwengu! ndiyo wamerudi kusema sasa baada ya kusoma soma ndani ya miaka 25. Hapo Rais Mkapa aliwasaidia sana aliwaambia ukweli at least sasa wanajua wanaweza waka argue kiuandishi. ajabu sasa haya ya kudharauliwa ndiyo tumeyajua leo!

Wewe Ulimwengu popote ulipo umeonyessha Madhaifu yenu katika tasnia yenu hiyo, au tuseme umedhamilia kuwabeza waandishi wa habari kisiasa kwa mgongo wa mtu mwingine! hapo uwaombe radhi!

Maneno yako haya yatamfanya Jiwe apitishe zoezi kali la vyeti feki katika kundi hili mmoja mmoja manake umeonyeshawazi kwamba kuna vihiyo ambao Mkapa hakuwa amini ktk taaluma ya kiingereza!,

kwani hili zoezi la vyeti feki liliwahusu waandishi wa habari kweli? Subirini hana dogo yule!
 
Ulimwengu ni kati ya watu muhimu sana hasa kwenye sector ya habari, tatizo ana chuki kubwa sana na walio madarakani, huwa nahisi kuna vitu personal vinaendelea kati yao ambavyo hatuvijui.
Kweli kabisa jamaa ana bifu na kila raisi wa nchi hii kuanzia ,mkapa, jk hadi jpm.
 
Maaharti ya imf hao hao mabeberu mnaowaaifia saiv wanakuza demokrasia
Wazungu wanataka tutumie common sense si vinginevyo.Kwamfano privatization ya NBC ilidaiwa kuwa ni sharti la IMF na Worldbank lakini Mwalimu Nyerere alipotembelea ofisi zao huko Marekani aliambiwa sio sharti la taasisi hizo bali ni matakwa ya serikali ya Mkapa.
Tuache kusingizia wazungu kwa mapungufu ya viongozi wetu wenyewe.
 
Nina brother wangu,was a university President enzi Mkapa akiwa Waziri wa Elimu ya juu,Brother used to tell story za Ben kuhusu kukata maji! Akiwa President Jamaa alikua anatoroka Ikulu kwenda kukata maji Salender Bridge Police pale,na kuna siku alikua anatoka safari ughaibuni,kashuka kwenye ndege yuko maji mbaya!

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Lakini mwisho wa siku alikuwa muamini mzuri sana wa Kanisa Katoliki
 
Duh!

Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!

Hapo ndipo napompendea Jenerali Ulimwengu! Jamaa huwa hataki Mambo ya kusifu na kuabudu....!!!
No kuremba....Ukweli na Uwazi😁😁
 
Mkapa ana kiburi cha kimataifa. Alishawahi kumpaka Tony Blair, Waziri Mkuu wa Uingereza, kwenye mkutano wa Commoneralth Australia mwaka 2002, kuhusu Zimbabwe, mpaka Tony Blair akamuomba urafiki amuweke karibu asimtie aibu. Akawa katika panel ya eminent people.

B8E2A923-407D-491D-9715-97AEB1AE0247.jpeg
 
Lakini mbona hakuna baya ambalo Jenerali kalisema.

Hajawa disrespectful.

Au mlitaka aseme kuwa Rais Mkapa alikuwa mtakatifu?

Nyani Ngabu ni ile tu kumsemea negative kwa mtu ambaye anasubiri mazishi next week.Ingetosha kusubiri kidogo maumivu ya wapendwa wake yapoe.Inawezekana kabisa kuna anaowapelekea meseji hii.Lakini not at this time kwa mtu ambaye ni public figure kama Ulimwengu.
 
Back
Top Bottom