Je, umeshawahi kubadilisha laini ya Simu kwa kukwepa Michepuko?

Aisee inabidi babu harusi awe kambale kwa muda mpaka siku zipite
 
Kua uyaone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No yangu ni ileile toka tigo wanaitwa buzz mpaka nimeingia kwenye ndoa nipo nayo, kikubwa ni wewe tu unavyoamua uishi kuwa sasa hivi kila kitu naachana nacho nimeshaamua kuingia kwenye maisha ya ndoa.
Shem na ule mchepuko ukauacha kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…