Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

Mwanaye DAS wa Morogoro, mwingine kashinda kura za maoni Kawe kawashinda magwiji😂😂😂, Jesca yupo kwenye kazi nzuri EWURA
 
Uwongo na matusi havileti kura

Vijana wa Chadema mtalia huu mwaka
Matusi gani yako kwenye comment yangu? Kumbe kila siku mnawasingizia hao CDM wanawatukana kisa wanasema ukweli? Hebu nambie nimekutukana wapi?
 
Maana yangu kubwa n kuwa Rais Magufuli ameonesha kuheshimu madaraka yake na kutokuifabya familia yake kama vile nao ni sehemu ya uongozi. Hayo mengine n tafsiri yako
 
Ni wanafunzi wangapi aliohitimu nao Jesca wamepata ajira? Baba wa Taifa aliacha kuijenga Butiama ili isubiri maendeleo ya miji mingine kwanza. Bado unafananisha Real Madread na Abajalo?
Huo sio wivu wala husda, ni uchawi
 
Hivi unaanzaje kumkubali jiwe mpaka unakuwa tahaira kama Jane lowasa na Kawe alumni.
 
Jesca mwenyewe yupo morogoro anakula mshahara, na juzi mtoto wa dada alishinda kura za maoni kawe.
Jesca anafanya nini morogoro, alishamalizaga M. A yake udom. Magufuli asije wafanya wanawe ka nyerere wasile mema ya nchi, huku kina January, nape, Ridhiwani na Mwinyi kabebwa Hadi anakuwa rahisi kabisa
 
 
mleta mada akachukue PhD ya ku mind bussiness zake
 
Mtoto wa dada yupo hazina,ndio mtoa pesa mkuu wa nchi.
Shemeji kapewa Tenda ya kujenga airport,wakati hajawahi hata kujenga Darasa au choo,
What's ****.
Mtoa mada anatuyeyusha!! Kila siku watu wanatoa upuuzi anaoufanya JIWe yeye ina maana hauoni kabisa.

-Kuongo mademu vyeo eg Kisarawe Oyeee , Mme kapigwa exile China Mkewe kalamba uwaziri,Kebbys hotel etc
-Mayanga construction
-Nyumba za serikali kupewa vimada na ndugu
-Wizi kwenye white elephants project.
 
Ujumbe huu umfikie Gwaji boy, mzee wa mauno au show kaliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…