Je, ni uchawi au saikolojia?

Je, ni uchawi au saikolojia?

Ulipiga teke ukuta kaka utaachaje kuvimba😅😅
Ni hivi kuna siku nilikuwa nimelala, sasa pale kitaani kulikuwa kuna kikundi cha wazee kazi yao ilikuwa ni kushurutisha sana wananchi usiku wakilala.

Kuna siku nimelala , usiku wa manane nikaanza kuweweseka kufumbua macho uso kwa uso na Kibibi cha pale kitaa. Nikageuza kichwa nikalala miguuni nikamuona huyu hapa, nikamwambia huwezi katika jina la Yesu.

Nikageukia tena upande wa kichwani bado yupo sijui ilikuwaje nili ruka summer sort kama mcheza kareti nikampigq teke kwenye taya mpaka mguu ukawa unauma. Ikabidi niamke nikawasha jiko la mchina la mafuta ya taa nikabandika maji nikajikanda mguu.

Kesho yake mida ya saa 4 asubuhi kuamka nikamuona yule Kibibi America taya lote

Hii ni kweli sio hadithi
 
Ni ya Moto sana napambana kuipuliza puuuuuuuuuuuu
 
Attachments

  • file_000000008a548211897cb2c8d770a056.png
    file_000000008a548211897cb2c8d770a056.png
    1.7 MB · Views: 0
Mimi Kuna mambo yananitatiza,hapa duniani Kuna mambo tumefichwa
Mfano kinachofanya mtu aongeena simu au mtu atumie Miki sauti iende kwenye speaker ? Hii tunaaminishwa ni sayansi lakini kwangu ni hapana .Kuna nguvu ipo na wazungu wanaijua na wanaitumia vzr.
Aloooo umewaza sana 🤔
Ngoja nikuuitie mtu dosho12
 
Aloooo umeweza sana 🤔
Ngoja nikuuitie mtu dosho12
Hii ni sayansi sauti ni waves zinapita kwenye mic mpaka kwenye mnara kwa mfumo wa waves inayokuwa coded kisha zikifika kwenye kifaa chingine zinabadilishwa na kuwa sauti tena, mkuu Robert20 we unahisi ni nini hasa kinafanyika, unajua sayansi inafanya kazi ya kutafsiri lugha ya nature ili tuelewe vizuri sio kwamba wanatengeneza vya kwao bali wana tafsiri tu jinsi ulimwengu unavyofanya kazi, sawa wanaweza kukukosea au kuto kuelewa vizuri ila sio kitu complicated ki hivyo ShesRise_1
 
Hii ni sayansi sauti ni waves zinapita kwenye mic mpaka kwenye mnara kwa mfumo wa waves inayokuwa coded kisha zikifika kwenye kifaa chingine zinabadilishwa na kuwa sauti tena, mkuu Robert20 we unahisi ni nini hasa kinafanyika, unajua sayansi inafanya kazi ya kutafsiri lugha ya nature ili tuelewe vizuri sio kwamba wanatengeneza vya kwao bali wana tafsiri tu jinsi ulimwengu unavyofanya kazi, sawa wanaweza kukukosea au kuto kuelewa vizuri ila sio kitu complicated ki hivyo @shesirise_1
Hapa napo najifunza maana sijui kabisa kuhusu haya mambo ya mitetemo ya sauti asante kijana mdogo dosho12
 
Back
Top Bottom