Je, ni uchawi au saikolojia?

Je, ni uchawi au saikolojia?

Sio lazima mchawi awe na jini muda wote,ila kuna mambo ambayo jini anatakiwa awepo

Mchawi anapata raha ya kuona wewe hufanikiwi au unapata shida hapa duniani,ndio raha yake hiyo

Kuna ishu nyingine inatia raha pia,mfano wenyewe wanakwambia hukaa barabarani na kuwazingua watu tu,ndio unaona umesimamisha basi hapa linaenda kusimama kule mbele,ni kazi yao hiyo sometime wana have fun
Vitu kama hivi huoni kama ni matatizo ya akili sasa hapo kuna kitu gani cha furahisha kwa mtu alie timamu ?(kama kweli wanaweza kufanya hayo)

Wakati wa mapatano wanakuwa live,wanakuwa kwenye ukimwengu wa kichawi ,huenda wasiwe kwenye umbo lao halisi lakini wanakuwa kwenye maumbile ambayo wenyewe wanajua
Hivi humu hakuna mchawi atueleze kuhusu haya maumbo ya kichawi ?
Au wewe unayafahamu ebu dokeza ni maumbo ya namna gani?
 
Uchawi upo kama ukiamini kuna uchawi pia uchawi haupo kama huamini kuna uchawi.
Kuhusu uchawi kuna aina mbili za uchawi, uchawi mweupe na uchawi mweusi.
Uchawi mweusi ni nguvu inayotokana na mashetani,majini wabaya, mizimu n.k
Uchawi mweupe ni nguvu ambayo inatokana na asili, akili n.k
Kupata uchawi mweupe ni ngumu inahitaji kuanzia miezi 6 na kuendelea ila uchawi mweusi ni rahisi siku moja tu unakuwa na nguvu hizo
 
Kwa maana hiyo wakati unasoma vitabu vya dini hupaswi kuamini kila kitu unapaswa kujichagulia baadhi?

Hutakiwi kuamini chochote bila kuchanganya na akili zako. Mfano kitabu cha dini kinasema nyoka anaongea, nyoka anakula mavumbi, punda anaongea, mtu anapaa.. farasi ana mabawa anapaa kwenda mbingu ya saba,, mambo kama hayo unapaswa kutumia akili yako kujua kwamba sio ya kweli bali ni uongo uliopo kwenye vitabu vya dini
 
Uchawi upo kama ukiamini kuna uchawi pia uchawi haupo kama huamini kuna uchawi.
Kwahiyo uchawi unatengenezwa kwenye akili ya mtu sio?
Kuhusu uchawi kuna aina mbili za uchawi, uchawi mweupe na uchawi mweusi.
Uchawi mweusi ni nguvu inayotokana na mashetani,majini wabaya, mizimu n.k
Nataka kujua kuhusu huu uchawi mweusi naomba ufafanuzi hapa hapa kwa faida ya member
Uchawi mweupe ni nguvu ambayo inatokana na asili, akili n.k
Kupata uchawi mweupe ni ngumu inahitaji kuanzia miezi 6 na kuendelea ila uchawi mweusi ni rahisi siku moja tu unakuwa na nguvu hizo
Toa darasa pia kuhusu uchawi mweupe mkuu usibaki na maarifa peke yako
 
Hutakiwi kuamini chochote bila kuchanganya na akili zako. Mfano kitabu cha dini kinasema nyoka anaongea, nyoka anakula mavumbi, punda anaongea, mtu anapaa.. farasi ana mabawa anapaa kwenda mbingu ya saba,, mambo kama hayo unapaswa kutumia akili yako kujua kwamba sio ya kweli bali ni uongo uliopo kwenye vitabu vya dini
Wewe kama ni mtu wa dini unaamini miujiza ya ma nabii Mf : Musa kupasua bahari ya shamu kwa fimbo yake
YESU kutembea juu ya maji ?

Kwanini huamini kama farasi alipaa kwenda mbingu ya saba ?
Na mengine yanayo fanana na hayo

Mi nilidhani ukiamua kuamini kitabu unaamini completely kumbe sivyo
 
Uchawi ni suala la kiimani tu. Shida ni kwamba imani za kijadi zimetengenezewa taswira mbaya na historia ya ukoloni.

Kuamini kwamba damu ya Yesu imekuponya na kwenda kwa mganga hakuna tofauti ukifikiria. Kote ni kutafuta miujiza.

Imani ni kama miwani. Tunaitazama dunia kupitia imani zetu. Kwahiyo kila mtu anoana kwamba imani yake ni halisi.
 
Sawa mkuu wewe una imani ya uchawi?
 
Attachments

  • downloadfile-27.jpg
    downloadfile-27.jpg
    86.9 KB · Views: 3
Wewe kama ni mtu wa dini unaamini miujiza ya ma nabii Mf : Musa kupasua bahari ya shamu kwa fimbo yake
YESU kutembea juu ya maji ?

Kwanini huamini kama farasi alipaa kwenda mbingu ya saba ?
Na mengine yanayo fanana na hayo

Mo nilidhani ukiamua kuamini kitabu unaamini completely kumbe sivyo

Mimi siamini yote hayo uliyoyasema sababu ni ya uongo.
 
Back
Top Bottom