ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,525
- 41,541
- Thread starter
- #461
Mola ameweka kila kitu
mola ameweka kila kitu kwa dalili na ushahidi mfano amesema miongoni mwa alama zangu ama uwepo wangu ni kuwepo kwa jua na mwezi usiku na mchana uwepo wa siku ya mwisho nikushauri dada yangu soma dini vizuri
Dini ipi nisome kaka?Mola ameweka kila kitu