Ahaa sawaNakupa hii CODE na uizingatie
Kitu chochote ambacho ni IMANI basi ujie ni kitu ambacho HAKIPO au huna UHAKIKA nacho………. So Uchawi na vitabu ulivyo vinukuu vyote ni IMANI
Kitu chochote ambacho KIPO hakiwezi kuwa IMANI…….. Huwezi kusema NAAMINI Trump ni Rais wa Marekani au kusema naamini kuna Bahari ina maji mengi kwasababu ipo na hawezi kuwa IMANI
Lakini mwanzoni ulisema unaamini kwanza sio?Ukisema NAAMINI chumba namba 5 kina Nyoka…… kikifunguliwa ikawa yupo huwezi tena kusema UNAAMINI kuna nyoka, utasema chumba kina nyoka sababu ni uhalisia(fact)
Mimi nakupa logic ya jinsi ulimwengu unavyoenda, wewe unataka kunifanya mimi mganga wako wa kienyeji?Irrelevant, huwezi kueleza inachokifanya wewe ni tapeli tu.
Narudia kama unaweza kaniroge. Najua huwezi ......nitakuuliza uthibitishe ulivyoniroga na hautaweza.
Maneno yako yote yanaweza kukosa maana kama tu kila una pochangia mada utaanza ku m attack mleta mada kama hiviKwa huu ujinga wako
Sawa uchawi upo na unaweza kufanya mtu akawa chizi kama unavyosemaumezaliwa na kukulia dar na nakushauri ukienda vijijini kuwa muungwana.uchawi upo tena kuna watu kazi zao wanalipwa kwa kwa ajili ya kuroga wengine wafe,wengine wanakufanya uwe chizi uteseke.Mimi binafsi ndugu zangu nilishuhuduwa wakirigwa na kuwa machizi na sio swala la kuhadithiwa
Ulimwengu unaenda hata kwa ulaghai na uongo.Mimi nakupa logic ya jinsi ulimwengu unavyoenda, wewe unataka kunifanya mimi mganga wako wa kienyeji?
Nenda katafute wachawi huko vijijini kwa bibi zako, uwaambie haya.
Kweli una akili ndogo sana, kwamba kwa sababu tu wewe Edson huamini, basi mambo hayapo? Hiyo inaitwa main character syndrome unadhani ulimwengu unazunguka kwenye akili yako tu hiyo ndogo.Ulimwengu unaenda hata kwa ulaghai na uongo.
Huwezi kuwa mganga wangu kwani siamini katika uchawi kama wewe
Huko kijijini hakuna uchawi bali walaghai na matapeli waliofichama ktk kivuli cha uchawi.
Wewe mwenye akili nyingi thibitisha uwepo wayo.Kweli una akili ndogo sana, kwamba kwa sababu tu wewe Edson huamini, basi mambo hayapo? Hiyo inaitwa main character syndrome unadhani ulimwengu unazunguka kwenye akili yako tu hiyo ndogo.
Baki na huo mtazamo wako wa kizamani.
Wayo ndio nini?Wewe mwenye akili nyingi thibitisha uwepo wayo.
Hii comment yako nimesoma kama vile umeandika ukiwa na haraka kama huyo wa kwenye avatar 😅Eeh buda hii mada iko moto kweli. Mimi naona uchawi ni kama imani tu, mtu akiamini kitu kinafanya kazi kwake. Lakini pia nimeona watu wakifanya mambo ya ajabu ambayo saikolojia pekee haiwezi kueleza, sijui hapo ni nini 😅
WakeWayo ndio nini?
Ila kuna utofauti kwa sababu uchawi hauishii kwenye kuamini tu wakati mwengine watu wanategemea kuona matokeo halisi ya kile kilichofanyika na ndio maana watu huamini Mungu ila akiwa na tatizo hukimbilia kwa mganga, kule anafuata matokeo na si imani.hahaa usipomuamini Mungu uchawi nao utakushinda tu
hivyo vitu viwili vinalandana sana
Ni sawa na mtu kutotaka kusikiliza maneno ya watu kuhusu mkewe kuchepuka hali ambayo itamfanya hatoona huko kuchepuka kwa mkewe.Unajua mkanganyiko uko wapi mkuu ni kwamba ukiacha kuamini hizo issue za uchawi wala hutouona kabisa kwenye maisha yako
Huoni hapo kama kuna walakini?
Kama ipi share basi tujifunze
Mkuu huu mfano haufanani mbona 🤣Ni sawa na mtu kutotaka kusikiliza maneno ya watu kuhusu mkewe kuchepuka hali ambayo itamfanya hatoona huko kuchepuka kwa mkewe.
Kwahiyo hapo unakubali yale mambo yenye kusemwa kuwa ni nguvu ya uchawi yapo kweli ila ule si uchawi ni jambo lengine tu ambalo hao watu wamekosa uelewa nalo?Hakuna uchawi , bali ukosefu wa uelewa juu ya jambo husika.
Unasema ameokoka wakati mwenzio sasa hivi na jua lote hili kali anamkaba mtu aliyesinzia tu kidogo akiwa amejilaza kwenye mkekaAmeokoka saivi mzee wangu😅
Kasheshe hizo ni theory tuUnasema ameokoka wakati mwenzio sasa hivi na jua lote hili kali anamkaba mtu aliyesinzia tu kidogo akiwa amejilaza kwenye mkeka