ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,133
- 47,155
- Thread starter
- #721
Umeona sasaNipo Sumbawanga kwa miezi takribani mi3 sasa, sijashuhudia haya mambo ambayo wanayasema yanapatikaka mkoani Rukwa.
Ukisema hapa unaambiwa wewe wa kishua
Umeona sasaNipo Sumbawanga kwa miezi takribani mi3 sasa, sijashuhudia haya mambo ambayo wanayasema yanapatikaka mkoani Rukwa.
Kwa kweli.Umeona sasa
Ukisema hapa unaambiwa wewe wa kishua
Kumbee ni mazao gani yanalimwa hukoKwa kweli.
Na pako nyuma kimaendeleo ila pana fursa kwa wanaotaka kutoboa kiuchumi kupitia kilimo.
Mahindi na MpungaKumbee ni mazao gani yanalimwa huko
Ooh basi ni kuchang'amkia fursa asante kwa ku shareMahindi na Mpunga
Pia wana species ya ng'ombe kama ile ya Rwanda na Uganda.