Lissu na wengine wenye majigambo ya ubobezi wa sheria wanajadili mkataba hewa

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,228
5,950
Kwa elimu ya awali kabisa ya sheria inayohusiana na mkataba kile kilichopelekwa bungeni na kuzaa azimo la bunge hakina sifa ya kuitwa mkataba (contract) bali ni makubaliano (agreement). Wasomi wetu wa sheria wamepitwaje na jambo hili la msingi kiasi cha kutumia vigezo vya mkataba kuhukumu makubaliano?

============

Agreements vs. contracts: The same, but different​

An agreement is a prelude to a contract. The “meeting of minds” that defines both an agreement and a contract is an essential part of both. One of the valid reasons to cancel a contract is a mutual mistake. This can occur when—despite both parties believing they agree on a fact or clause—one or both of them are wrong.

‌Both an agreement and a contract require that the parties be on the same page when it comes to who is doing what, who gets what in return, and when any necessary actions will take place. Both agreements and contracts are recognized to be arrangements between two or more parties to perform certain responsibilities.

‌The critical difference is that contracts are recognized as legally enforceable promises to perform. Some agreements—such as clickwrap agreements—have been held to be legally enforceable, but those agreements must have certain legal terminology that indicates the parties’ intent to enter into a binding agreement.

‌Making an agreement into a contract​

Taking an agreement or a basic contract and upgrading it into a digital contract is not as easy as A-B-C, but it doesn’t have to be too difficult. Modern contract lifecycle management (CLM) takes basic agreements and contractual details and melds them into a workable contract for the end-user.
 
Comte comte comte.. ni nan kakuibia akili yako? Au ukiwa kijani na ubongo unaswekwa kabatini?
 
Mkuu nina akili timamu kabisa- pale hakuna mkataba hivyo hatuwezi kujadili mkataba
...tufanye baadhi tunakubaliana na wewe kuwa hatuwezi kujadili mkataba, je, makubaliano yaliyozaa azimio la kibunge nayo hatupaswi kuyajadili?! Au unataka kusema makubaliano yaliyoazimiwa hayajadiliwi kimkatabakataba.

Ni kueleweshana tu, nchi huru hii.
 
Sina shida kama tukijadiliana tukijua tunachojadili ni makubaliano (agreement) na si mkataba (contract). Tatizo ninalo liona na kinchoendelea ni kana kwamba kuna mkataba tayari.
Mkuu hebu turudi katika maisha ya kawaidia. Familia A ikipeleka barua ya uchumba kwa familia B hatuwezi kujadili hiyobarua kama ndoa kati ya C NA D kutoka familia A & B respectively. Uchumba siyo ndoa, na barua ya uchumba kabala yajapokewa kukubaliwa na kujibiwa kuwa imekubaliwa hakuna uchumba.
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Why bungeni waliita mkataba? Ule ni mkataba wa awali...
Does it make any difference? Mkuu nakuomba utulie, una akili, un uwezo wa kufikiri, liangalie tena hili jambo; linavyoenda siyo sawa hata kama watu maarufu wamelilukia na kutoa maagizo yao. bado ni watu na wanaweza kuwa hawako sahihi
 
Kwa elimu ya awali kabisa ya sheria inayohusiana na mkataba kile kilichopelekwa bungeni na kuzaa azimo la bunge hakina sifa ya kuitwa mkataba (contract) bali ni makubaliano (agreement). Wasomi wetu wa sheria wamepitwaje na jambo hili la msingi kiasi cha kutumia vigezo vya mkataba kuhukumu makubaliano?

Agreements vs. contracts: The same, but different​

An agreement is a prelude to a contract. The “meeting of minds” that defines both an agreement and a contract is an essential part of both. One of the valid reasons to cancel a contract is a mutual mistake. This can occur when—despite both parties believing they agree on a fact or clause—one or both of them are wrong.
‌Both an agreement and a contract require that the parties be on the same page when it comes to who is doing what, who gets what in return, and when any necessary actions will take place. Both agreements and contracts are recognized to be arrangements between two or more parties to perform certain responsibilities.
‌The critical difference is that contracts are recognized as legally enforceable promises to perform. Some agreements—such as clickwrap agreements—have been held to be legally enforceable, but those agreements must have certain legal terminology that indicates the parties’ intent to enter into a binding agreement.

‌Making an agreement into a contract​

Taking an agreement or a basic contract and upgrading it into a digital contract is not as easy as A-B-C, but it doesn’t have to be too difficult. Modern contract lifecycle management (CLM) takes basic agreements and contractual details and melds them into a workable contract for the end-user.
Ni makubalianao juu ya nin mkuu..,
 
Ni makubalianao juu ya nin mkuu..,
Juu ya nini haibadilishi chochote- iko hivyo hivyo; itakuwa hivyo kwenye makubaliano na kweny mkataba pia. Kwa hiyo swali lako halina mantiki wala haliongezi wala kupunguza chochote
 
Aisee unatia huruma kweli kweli.
 
Juu ya nini haibadilishi chochote- iko hivyo hivyo; itakuwa hivyo kwenye makubaliano na kweny mkataba pia. Kwa hiyo swali lako halina mantiki wala haliongezi wala kupunguza chochote
Taifa hili lina vijana wa hovyo sana, nikusema tu mim nigraduate lakin kichwani bilabila..,
 
Does it make any difference? Mkuu nakuomba utulie, una akili, un uwezo wa kufikiri, liangalie tena hili jambo; linavyoenda siyo sawa hata kama watu maarufu wamelilukia na kutoa maagizo yao. bado ni watu na wanaweza kuwa hawako sahihi
Kama ndo ivo bas tuna bunge lisilojua kitu juu ya kutofautisha mikataba
 
Kwahiyo untaka kutuambiaje? Kwamba mkataba utakuwa mnono au ? maana kama hiyo unayoita prelude ndio iko hivi huo mkataba utakuwaje na mbulula wenzio Bungeni wameshaunga kichwa azimio la kuingia mkataba.
 
  • Kicheko
Reactions: Obe
Sina shida kama tukijadiliana tukijua tunachojadili ni makubaliano (agreement) na si mkataba (contract). Tatizo ninalo liona na kinchoendelea ni kana kwamba kuna mkataba tayari.
Mkuu hebu turudi katika maisha ya kawaidia. Familia A ikipeleka barua ya uchumba kwa familia B hatuwezi kujadili hiyobarua kama ndoa kati ya C NA D kutoka familia A & B respectively. Uchumba siyo ndoa, na barua ya uchumba kabala yajapokewa kukubaliwa na kujibiwa kuwa imekubaliwa hakuna uchumba.
Swali fupi. An agreement can be legally binding au huwa siyo binding?

Umeokoteza vitu ambavyo huna ujuzi navyo, ukatoka navyo na kuja kubandika hapa kama vilivyo.

Ngoja nikuingize darasani kidogo kwa sababu inaonekana kwenye eneo hili wewe ni mtupu.

Every contract is an agreement, lakini siyo kila kila agreement ni contract. Kuna agreements ambazo ni legally binding, lakini pia kuna agreements ambazo siyo legally binding. Inategemea contents za agreement.

Agreement aliyosaini Mbarawa ni legally binding, haina tofauti na contract.

Hapa chini nikuwekee standard definitions hizi, ukishindwa kuelewa, kremu kama zilivyo.

People also ask

Is a written agreement the same as a contract?

‌A contract is an agreement, but an agreement is not always a contract. An agreement can be informal or it may be written; a contract may be verbal or written, but a contract will always be enforceable if it contains certain requirements.

Agreement can be legally binding and can be used in official legal proceedings. Both parties must accept the terms to make it legally binding. Examples of legally binding agreements include business agreements, privacy policies, and terms and conditions.
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Back
Top Bottom