Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
- Thread starter
- #281
CC:Kipara KipyaYani ukisikia shetani wa jf Ndio mtu Kama wewe kwahiyo mliompiga risasi hamna hatia ila mwenye hatia ni aliepigwa risasi na aliemuokoa doh aisee kisasi chenu kitakua kibaya Sana kwasababu kitachanganya na hasira pia maana mnawaza ushetani.
Sent using Jamii Forums mobile app
