jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,648
- 4,451
Achana nalo jinga hiloMasikini hata kusoma hujui, maana kilicjoandikwa na ulicho kuchangia ni ardhi na mbingu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sanaIlo shetani UCD ukitaja MUNGU linachukia sababu ni moja la mashetani yaliyomkasirikia MUNGU kwa kumponya LISU. Na wao kushindwa kwa UWEZA WA MUNGU
Ulitegemea utaongea nn kama si kujinyeanyea baada ya kuona Mwamba LISSU kiboko ya Meko na fisiem wote katua mjengoni💪✌✌Si alisema usalama wake uko hatarini? Au alikuwa anachezesha kwata wanasaccos wa Chadema ili aendelee kula ruzuku za chama huko kwa mabeberu Ubelgiji??
Fisiem mnashida sana hamlali skuizi kisa Sacos ya Mbowe inawatesa usingizi kwishneh. Mshukuru policcmSi alisema usalama wake uko hatarini? Au alikuwa anachezesha kwata wanasaccos wa Chadema ili aendelee kula ruzuku za chama huko kwa mabeberu Ubelgiji??
Jipeni matumaini lkn mtambuwe hamuwezi kushindana na nguvu ya MunguLissu mwisho wake kenya
Hao viongozi wa chadema wapo picnic kenya wakitafuna ruzuku,ndipo wanapokutana huko,wakimaliza Lissunatarudi zake kwenye ukimbizi wa uchumi ubeleshi
Unadhani na sie ccm hatuombi Mungu?Jipeni matumaini lkn mtambuwe hamuwezi kushindana na nguvu ya Mungu
Kama Kikao cha Kamati Kuuu ya Chadema kinafanyikia Nairobi kwa kumfuata Lissu, Wana-Chadema tusahau kujenga Ofisi Kuu ya Chama tutaendelea kuwa wapangaji kwenye kile choo cha Ufipa
Jipeni matumaini lkn mtambuwe hamuwezi kushindana na nguvu ya Mungu
Upuuzi mtupuUnatisha mukuubwaaa.
Chuma hicho kwenye ubora wakeView attachment 1327853
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu mwisho wake kenya
Hao viongozi wa chadema wapo picnic kenya wakitafuna ruzuku,ndipo wanapokutana huko,wakimaliza Lissunatarudi zake kwenye ukimbizi wa uchumi ubeleshi
Hawezi kurudi Tanzania kwa sasa kwa sababu yeye na dereva wake walipewa hati za kusafiria za kibelgiji pale Nairobi kwa masharti wasikanyage Tanzania siyo salama,wakitaka kukanyaga Tanzania warudishe zile hati na kusema wapo salama na warenew hati zao za kitanzania zimekwisha expire hata Mbowe anajua anawachezesha ngonjera tu.
Fisiem mnashida sana hamlali skuizi kisa Sacos ya Mbowe inawatesa usingizi kwishneh. Mshukuru policcm