Je, Lissu yupo nchini?

Kikubwa ni kuwa mh Lissu yu hai tena mwenye afya tele anasubiri kuapishwa kuwa rais wako hapo.
Hiyo dozi ya matusi bado haifikii uwezo wako kwa sababu unalipwa kwa kumwaga matusi kama ulivyosomea. Hizi ngonjera za mara walinzi waliondolewa, mara CCTV ziling'olewa ni makelele tu ya kutunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu yu hai na baada ya uchaguzi wa 2020 ndiyo atakuwa rais
Uchunguzi wa kesi za jinai sio ligi ya mpira wa mguu unasema dakika ya ngapi tumefikia wapi n.k. Mambo yote yatawekwa wazi mahakamani na ndio maana watu wanatafuta kila sababu ya kutorudi nchini. Mara anatibiwa kisaikolojia, mara anatafutiwa shule asome certificate baadaye diploma and then degree. Hivi mtu ambaye hajajiondoa ufahamu kweli haoni hii fix ya sababu za kutokuja nchini kwake?
Screenshot_20200119-195527.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom