Je, Lissu yupo nchini?

Huyo ndiye rais wako ajaye hakuna njia nyingine
Endelea kumuweka hewanj. Wabongo hawakawii kumsahau!
Screenshot_20200119-143633.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudadadeeeki chuma kinaonekana kipo fit, kama una ugonjwa wa moyo basi katibiwe kabisa kwa madiba

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni fiti kwa Saccos sisi tunamwona msaliti tu aliyeshindwa! Vitu vyote alivyokuwa anapinga tumefanikiwa kuanzia Accacia hawapotena TZ na tumefikia makubaliano na Barrick na Kampuni mpya ya Twiga imeshaanzishwa! Hapa Kazi Tu! Pia hana tena Ubunge amebaki kiongozi kwenye Saccos inayokufa baada ya October 2020.
 
Rais wako ajaye huyo ebu kuwa na heshima kama unavyo mheshimu chief wako mh Mnyika
Hahahaha kweli nyumb ni shida! Hivi kweli Lissu wa sasa hivi ni sawa na wa 2017 kweli?? Hana ubunge pia anachechemea!! Wakati mwingine basi tumieni ubongo kidogo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom