Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,690
- 3,382
Kwa mbinu yenu ile ile ya uchafuzi wa serikali za mitaa?. Washenzi ninyi.Teh teh teh at ana ulinzi imara nchi jirani, yeye aje tu hatuna haja naye wala hana athari yoyote, kama mnadhani ni turufu basi ni garasa MTz hadanganyiki, kipindi ambacho mtashangazwa mpaka mbaki midomo wazi ni 2020, niliwapa ushauri wa bure wapinzani wote pendekezeni tu kusiwepo uchaguzi hiyo fedha iongeze upatikanaji wa maji vijijini. kwa ninyi kushinda ndoto mkipata hata majimbo 5 mje niwape zawadi.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk


