Walau ume update maana wengine ni kama tumemsahau kabisaHadi sasa watu wanateseka sana na kuweweseka kisa kuona picha za mh Lissu Makamu wa mwenyekiti wa cdm.
Je tayari amesha tua hapa nchini? Tafadhali tupeane habariView attachment 1327501View attachment 1327502
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora shetani wa kudhuru mtu mmoja kuliko yule wa kuangamiza taifa zima na vizazi vijavyo.
Hahahaaaa........ Ni gazeti la Mwananchi bwashee kama waongo wasemelee kwa Dr Shonza!Mh wewe ni jike nadhani, maana kwa tabia hizo ni za kike kabisa! Umbea umbea umbea!
Mkuu mimi sichoki nitaendelea kuwahabarisha!kama huvutiwi na taarifa achana nayo mkuu mtoa mada usiache kutujuza

Umenena vema bwashee!Kama mazingira ya ndani hayalo conducive sioni shida wakifanyia kikao nje, suala ni je sheria za Kenya zinaruhusu mikutano au shughuli za kisiasa(kama itathibitika kweli ni ya kisiasa) za nchi nyingine zifanyike nchini mwao?

wamehamia nairobi pale ufipa hawapataki. tukihoji matumizi ya ruzuku pyupyupyuNishawekwa Huru na KWELI ya NENO LA MUNGU. Sihitaji ujanja wa kishetani kama wako ili kujuwa UKWELI wa nani muhusika wa tukio la Lisu. hata shetani atawaumbua kwa ushenzi wenu.mna mikononi iliyojaa damu za watu.Hujawa huru wewe. Subiri utaufahamu ukweli na utakuwa huru. Achana na hadithi za kutunga.
Dah maneno mazito sana haya Mkuu!Duh, jamaa yuko hai, kweli akili za Mungu hazichunguziki na hakuna azijuaye. Tunaweza kushangaa jamaa akahudhuria mazishi ya Magufuli. Who knows.
Kwa kweli Watanzania tuna safari ndefu sana mpaka kuufikia ukombozi wa kifikra ambao ni msingi wa maendeleo ya watu.Ni fiti kwa Saccos sisi tunamwona msaliti tu aliyeshindwa! Vitu vyote alivyokuwa anapinga tumefanikiwa kuanzia Accacia hawapotena TZ na tumefikia makubaliano na Barrick na Kampuni mpya ya Twiga imeshaanzishwa! Hapa Kazi Tu! Pia hana tena Ubunge amebaki kiongozi kwenye Saccos inayokufa baada ya October 2020.