Walio sherekea na kunywa bia kupigwa risasi Lissu wametutoka siku nyingi, Lissu buheri wa afya. God is good all the time.
Kakwambia mume wa mamaako?
Kwahiyo hao hawajashikiwa akili
Yeah kama kweli yupo nchini basi chadema ni chama makin sana kuweza kufanya mchakato huo chini ya maji bila hawa wauwaji kujua #lisu2020
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwahiyo aliyemfananisha Jiwe na shetani hajatukana? Pumbavu!
Kila kitu kweli hupita.
Kipndi kile meh ilikuwa kila uzi lazima atatajwa lisu, leo kimyaaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila muuaji ni shetani kwani uuaji ni hulka ya kishetaniKwahiyo aliyemfananisha Jiwe na shetani hajatukana? Pumbavu!
Lissu is a dying horse. Hata Umakamu "aliopewa" ni ku save his face! Kama mtu anaishi Ulaya lakini anategemea hela ya kula kutoka kwenye michango ya kapuku kama Mmawia unategemea nini! Muda si mrefu Lissu ataomba po kwa Jiwe!

Na aliyemuua Chacha Wangwe ni shetani? Mbona mlimpa Uwenyekiti wa chama chenu?Kila muuaji ni shetani kwani uuaji ni hulka ya kishetani
Buruga inajenga sana akili. Ila kwa Mbowe buruga ilipotea bure. Hivi unajua elimu yake? Ahahahahahah!

Na aliyemuua Chacha Wangwe ni shetani? Mbona mlimpa Uwenyekiti wa chama chenu?
Lissu is a dying horse. Hata Umakamu "aliopewa" ni ku save his face! Kama mtu anaishi Ulaya lakini anategemea hela ya kula kutoka kwenye michango ya kapuku kama Mmawia unategemea nini! Muda si mrefu Lissu ataomba po kwa Jiwe!
Tatizo la uelewa wenu. Kila siku nasema nipo Mwanza City, wewe umeng'ang'ania Lumumba. Ninyi ndio wale wajinga mnaofikiri kila mtu yupo Dar es Salaam. Pumbavu!
Ni aibu sana kwamba hakuna mwana Chadema anayejua elimu ya Mwenyekiti wao Mbowe. Nafikiri hata Saanane alipoujua ukweli wa elimu ya bosi wake, kwa aibu akaaamua "kujipoteza"! Mmebaki nyumbu kama wewe Mmawia usiyejua kitu zaidi ya kuabudu na kutukuza tu. Ipo siku atakuagiza umpelekee mkeo na utampelekea!!

Kumbe na wewe ni ukoo wa shetani mkuu kutoka chatoNa aliyemuua Chacha Wangwe ni shetani? Mbona mlimpa Uwenyekiti wa chama chenu?