Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
- Thread starter
- #241
Ila simba chui n.k bila kunyatia hawawezi kupata kitoweo!Ina maana amekuja kimya kimya? Vipi yale maandalizi ya mapokezi hapo Ufipa? Kweli Jiwe kiboko hadi 'shujaa' anarudi kwa kunyatianyatia!!!??
Ni facts,hayo ya Lumumba na mimi kuwa nina ukungu kichwani ni yako mkuu.
shwainn kabisa... toka lini sheitwani akamuomba mungu?Unadhani na sie ccm hatuombi Mungu?
Wewe na mimi tutaondoka pia, hakuna ajuaye siku wala SAA......!Siku zake zikifika ataondoka tu kama wewe utavyoondoka!
shwainn kabisa... toka lini sheitwani akamuomba mungu?
Hata yule anayebandika watu kesi uchwara za utakatishaji na kupotezana mwambie naye atalipwa vivyo hivyo. Kipimo anachopimia wenzake naye atapimiwa hivyo hivyo.Siku zake zikifika ataondoka tu kama wewe utavyoondoka!
UNA UPUUZI MWINGI SANA UKIDHANI JF KUNA MAZEZETA YASIYOFIKIRIA KAMA WEWE.
🙆🙆🙆🙆Mungu Mkubwa sana,,!
Shetani mkuu wa IKULU ameshindwa tena na tena!
#LISSURAIS2020
Hujawa huru wewe. Subiri utaufahamu ukweli na utakuwa huru. Achana na hadithi za kutunga.
Yani ukisikia shetani wa jf Ndio mtu Kama wewe kwahiyo mliompiga risasi hamna hatia ila mwenye hatia ni aliepigwa risasi na aliemuokoa doh aisee kisasi chenu kitakua kibaya Sana kwasababu kitachanganya na hasira pia maana mnawaza ushetani.LISSU HAJI LEO WALA KESHO. ANAJUA KESI INAMSUBIRI KUHUSU KUSHAMBULIWA KWAKE. JE DEREVA WAKE NAYE KAJA? AU ANADHANI KUKOSEKANA KWA DEREVA WAKE NDIO HATASHTAKIWA? ILA WAKIWEPO WOTE WAWILI KESI NDIO ITANOGA NA ITACHUKUA MUDA MFUPI KUMALIZIKA.
Mh wewe ni jike nadhani, maana kwa tabia hizo ni za kike kabisa! Umbea umbea umbea!Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu na vigogo wengine wa chama hicho wamefanya kikao chao cha kwanza tangu Uongozi mpya uingie madarakani.
Kikao hicho kimefanyikia jijini Nairobi nchini Kenya.
Source Mwananchi!