kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,937
- 5,430
ItakuwaUkute mtoa mada amepatikana kwa njia hiyo ya cha asubuhi
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
ItakuwaUkute mtoa mada amepatikana kwa njia hiyo ya cha asubuhi
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hatar sana nimeishia kucheka hahahahaaaaUkute mtoa mada amepatikana kwa njia hiyo ya cha asubuhi
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
kiuhalisia TCRA inatakiwa ikiona maneno yanayotumika kwenye matangazo kama hayo ambayo yanaendana hata kwa misemo ya kiswahili potofu wayazuie kuleta heshima siyo vizuri maneno kama hayo kuyabariki hivi unajisikiaje asubuhi mnajiandaa kwenda kazini upo na watoto wako sebueni linakuja tangazo kama hilo kweliiii watoto wanapata picha gani kwamba mzee anahimizwa akamkandamize mother cha asubuhi? noma sana
Mpemba anaitamka hivi"makunduuchi;.Hizi akili hizi,niambie kwenye maneno "Cha asubuhi"tusi lipo wapi?
Tusi limejaa kwenye kichwa chako,maana unawaza ngono tu,inawezakana ni Cha asubuhi kifurushi,Cha asubuhi kikombe Cha chai!
Hii ni Sawa waliopiga kelele wimbo wa Nyegezi upigwe marufuku,lakini walivyo wajinga,Kuna sehemu nchi hii inaitwa Nyengezi stand,nyegezi Kona.
Kama unasema "Cha asubuhi"ni matusi,vipi kuhusu "makunduchi"mchamba wima"
Na haya ni majina ya vitongoji kule Zenj!
Acha ujinga.
Ila si tayari wameruhusu wanafunzi kuendelea na masomo hata wakipata ujauzito??Hilo tangazo naona watu wazima ndio wanawafundisha watoto wajiulize hiki cha asubuhi ni kitu gani, na wakikipata msije tena kulalamikia mimba za utotoni.
Kama shida ni "cha asubuhi" hata kikombe cha chai ni cha asubuhi pia, japo kinaweza kutumika na jioni pia.
HapanaWewe ni mzinzi tu by nature.
Kwani kwenye tangazo lao, wanamalizia na piga show ya asubuhi? na hata kama si jiwe moja kuuwa ndege wawili!Nimekaa zangu nawaza niende kwaya,mara nikasikia tangazo la tigo wanahamasisha Cha asubuhi.kusema kweli nimewaza mbali akili yangu ikawazaaa.sijui Kama nitalala home leo niombeeni tu.namba nilishablock ila namtafuta kwenye file la emergency
Tigo mlaaniwe
Kwanza vipi bado unatafuta? Kama bado nipo hapa .Hapana
Hapa nipo njiana naelekea Juliana 🤭🤭Nimekaa zangu nawaza niende kwaya,mara nikasikia tangazo la tigo wanahamasisha Cha asubuhi.kusema kweli nimewaza mbali akili yangu ikawazaaa.sijui Kama nitalala home leo niombeeni tu.namba nilishablock ila namtafuta kwenye file la emergency
Tigo mlaaniwe
Naenda mkesha churchHapa nipo njiana naelekea Juliana
Kanisa gani nikufate 😀😀Naenda mkesha church