alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,370
- 3,165
PM kufata nini? Ushauri wa hapa ni kwa msaada wa vizazi vitakavyo kuta thread na achilia mbali vizazi kuna watu humu humu wanajifunza huko PM unataka kumfanya nin? Dada wa watu mbona yeye akufanya siri na kwenye hili jambo hakuna siri tujaribu kubadilika sio mda wote tunawaza chini tu af kutwa kulaumu maisha magumu.
Mkuu wangu nimeongea kiutani sikua serious na pia mimi sina maisha magumu kama unavyosema. Na kumbuka ni hulka yetu wanaume kamili kuwaza chini inapotokea una ham, au vip siku njema huko uliko.

