Wazazi watakuwa na mashaka,watahisi utaishi kwa kuhongwaKama ni chini ya hapo??
Danga tena limetokea wapi mkuu
Kwani ukizeekea kwenu nini kinatokea? Hapo ni kwenu na hao ni wazazi wakoKwaiyo nizeekee kwetu sababu nitaonekana nimepangishia nyumba kweli
Kwa kweli kwa mtoto wa kike anayelelewa na wazazi sioni sababu za msingi za kukufanya uondoke nyumbani labda kuwe sababu za msingi kama kazi,au elimu tofauti na hayo labda unatafuta uhuru ambao baadae unaweza ukageuka kilio.Wakuu nisaidieni kunishauri nahitaji kujitegemea kutoka nyumbani na kwenda kupanga ila tangu niwashirikishe nyumbani kuhusu mpango wangu kila mtu amelichukulia kwa mtazamo negative kwamba ni mapema kwenda kupanga kwa mtoto wa kike,natakiwa niondoke mpaka niolewe,najiona nimekua,nimepata bwana/danga ndoananichanganya,nitakua siheshimiki katika jamii.
Je kama Ke siruhusiwi kuendesha maisha yangu kwakua sijaolewa bado?
Hii ni sawa kweli?
Usikate tamaa katika kumueleweshaAsipoelewa basi
Kwa kweli kwa mtoto wa kike anayelelewa na wazazi sioni sababu za msingi za kukufanya uondoke nyumbani labda kuwe sababu za msingi kama kazi,au elimu tofauti na hayo labda unatafuta uhuru ambao baadae unaweza ukageuka kilio.