Je, hii ni sawa?

Je, hii ni sawa?

Kwa 28 age! Sepa tu hapo home ukatafute bahati kwingine,kama waoaji hapo kwenu hawajakuona ujue riziki haipo hapo.ukikaa hapo itafika hata 35.
Usimdanganye mwenzio...watu wanakaa kwao mpaka 30 hukoo...!!
 
Mdada yeyote ticket ya kutoka kwenu ni kuolewa au kupangwa kazi mkoa mwingine mbali na home Bhasii.!! Kuna wadada ninapofanya kazi wanalipwa pesa nzuri tu mwingne mpaka ana gari lakini hawana Mpango wa kwenda kupanga ila boys wote tumepanga hata wale ambao kwao ni Dar...
 
Kwenda kupanga unaandaa mazingira yako peke yako ya kuja kuwa single mother's usije kusema atukukwambia tunasema na wew utaamua ? Yote yako juu yako Ila utakapo kua single mother's sasa ndio swala LA husband material litaisha na vigezo na mashart utapunguza na kila mwanaume kwako utaona anafaa.
 
Kwenda kupanga unaandaa mazingira yako peke yako ya kuja kuwa single mother's usije kusema atukukwambia tunasema na wew utaamua ? Yote yako juu yako Ila utakapo kua single mother's sasa ndio swala LA husband material litaisha na vigezo na mashart utapunguza na kila mwanaume kwako utaona anafaa.

Asante nimekwelewa
 
Mdada yeyote ticket ya kutoka kwenu ni kuolewa au kupangwa kazi mkoa mwingine mbali na home Bhasii.!! Kuna wadada ninapofanya kazi wanalipwa pesa nzuri tu mwingne mpaka ana gari lakini hawana Mpango wa kwenda kupanga ila boys wote tumepanga hata wale ambao kwao ni Dar...[/

Hili jambo umeliweka kijinsia zaidi ila sawa nimekwelewa mkuu
 
Wazazi wanaweza kuwa sawa ila unaweza usitambue hili kwa Sasa,utawashukuru baadaye
Kama sehemu unapofanya kazi si mbali Na nyumbani then hakuna umuhimu wa kutoka kwenda kupanga.

Wadada wengi japo Sio wote wanaotoka nyumbani na kwenda kupanga mwisho wake huwa ni mimba na kuzalishwa bila ndoa...ule Uhuru unazidi.
Huo Ni mtazamo wangu kutokana na experience yangu
Nimeshuhudia haya kwa macho yangu
Sikushauri kwenda kupanga dadangu
 
Tafuta Kiwanja anza kujenga achana na fikira ya kupanga mtoto hakui kwa wazazi
 
Nimekwelewa sana tu na asante kwakuchangia ila sijapata mtu na nadhani naumia zaidi napoona nakuwa denied kuendesha maisha kwa maamuzi yangu mwenyewe just becouse sijaolewa...inamaana nisipopata mtu ntaishiaga kukaa kwetu
Kuna shida gani kufia kwenu?
 
Kwaiyo nizeekee kwetu sababu nitaonekana nimepangishia nyumba kweli

Amua wewe utulie kwenu upate mme au ukapange uishie kwa madanga?
Hakuna mtu mpuuzi atakayekuoa ukiwa umepanga na kwenu ni hapohapo
Ingekuwa kwenu mkoa hapo afadhali ila kwenu ni hapohapo bado umepanga tena mtoto wa kike? Maana yake unapenda kujitegemea na hupend kuwa chini ya mtu
Hata mme utamsumbua maana unapenda uhuru
 
Mkuu hebu njoo pm nikushauri vizuri maana hapa ya wengi yatakuchanganya. Upatapo ujumbe huu usiufanye moyo wako kua mgumu. Awaiting for you
PM kufata nini? Ushauri wa hapa ni kwa msaada wa vizazi vitakavyo kuta thread na achilia mbali vizazi kuna watu humu humu wanajifunza huko PM unataka kumfanya nin? Dada wa watu mbona yeye akufanya siri na kwenye hili jambo hakuna siri tujaribu kubadilika sio mda wote tunawaza chini tu af kutwa kulaumu maisha magumu.
 
Ila kama uko above 30 nenda kapange mama maana ushavuka umri sasa ila kama bellow usipanhe
 
Mbona kama una ujuaji fulani....hapa naona kama huitaji ushauri bali unahitaji " sapoti" ya yale unayohitaji.!

Hata me nimesoma majibu yake hapa naona hajafata ushaur ila amekuja kututarifu kuwa anapanga
Aisee usisahau kunambia umehamia wap niwe nakuja kupaki Bm yangu hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom