livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 968
Tena nikakwambia ukitaka kupanga consult me nina nyumba mbili....weyeeeee!!!!
Sababu kuu ya huu uzi ni kuomba ushauri na kuona fikra za wengine zikoje juu ya swala hili ndomana nimejaribu kujibu kila uzi ili nichallage waliokua wanaenda kinyume na mawazo yangu bt sijafanikiwa kupata sababu zaidi ya kuona ukandamizaji na dharau tu kwamba Ke hawezi kujitegemea kabla hajaolewa or akijitegemea basi atatumika tu na kuishia kuwa single mum apart from this reasommn hamna alieleta jibu tofauti this means mnaona Ke ni dhaifu kiasi cha kuwaona ni wa kutumika tu this includes u
