Je, hii ni sawa?

Nimekuelewa ila nimependa hii NB yako huwezi kumuuliza Ke kwanini hajaolewa sababu sio amri yake kuolewa wala hawezi jilazimisha kwa mwanaume maisha hayaishi sababu hujaolewa
Sorry, maana yangu ni moja, kwamba unapofikiria hilo jiridhishe mwenyewe kwamba sijachangia chochote kwa kutoolewa katika umri huu, bali Mungu bado haja mleta mtu aliyenipangia. Then ndipo u move on with your decision.
Na malengo yangu hayakuwa kukushitumu moja kwa moja kwamba your responsible for this.
 
Pia mtoa mada unatakiwa kujua hisia za mzazi kuelekea mtoto wake, hasa mtoto wa kike
Wazazi huumia sana kumuona mtoto wao wa kike akiishi peke yake, kwa sababu wanakuwa na wasiwasi kwamba labda mtoto wetu hataolewa, na pia wanahisi kwamba atatumika sana na wanaume tofauti tofauti ( wanawaza hivi hata kama mtoto wao anaishi peke yake baada ya kupangiwa kazi mkoa tofauti). Lakini pia wanaona kama jamii itawachukulia vibaya kwa kukuruhusu uondoke.

100% uko sahihi nadhani hii ni hofu yake kuu
 
Kama una kipato cha kuweza kiendesha maisha yako bila kutegemea msaada wa familia kaaa na wazazi uwaombe wakuruhusu ujiyegemeee. Kukaa maisha ya kujiyegemea kutakufanya uongeze utafutaji kwa kuwa utakuwa unaona mapungufu yaliyopo ndani.
Ili inabidi ujitegemee kama una umti wa 25+

Asante kwa kuchangia
 
Sababu kuu ya huu uzi ni kuomba ushauri na kuona fikra za wengine zikoje juu ya swala hili ndomana nimejaribu kujibu kila uzi ili nichallage waliokua wanaenda kinyume na mawazo yangu bt sijafanikiwa kupata sababu zaidi ya kuona ukandamizaji na dharau tu kwamba Ke hawezi kujitegemea kabla hajaolewa or akijitegemea basi atatumika tu na kuishia kuwa single mum apart from this reasommn hamna alieleta jibu tofauti this means mnaona Ke ni dhaifu kiasi cha kuwaona ni wa kutumika tu this includes u
May be this is reality
 
Ninachokwambia ni uhalisia. Ila unachokisema ww ni unachodhani. Tunaishi nao mitaani, tunaona yanayotokea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom