Je, hii ni sawa?

Inategemea, maisha ya nyumbani kwenu, na pia na kipato chako kama umeshaweza kujitegemea,, pili kama unakaa na mama na baba, usikimbilie sana, ila kama unakaa na walezi basi chomoka kajitegemee
 
Kama mazingira ya kazini na nyumbani sio mbali, huna sababu za kupanga. Wewe ni mtoto wa kike, ikitokea ukapangiwa kazi nje/mbali na wazazi basi hapo ni sawa/lazima upange, ila upo home na sio mbali ya kazini wala huna sababu ya kuondoka.

Najua unachotaka hapo ni freedom, ili kidume kiweze kuja na kukukanda kirahisi, but a decent lady would stay with her parents till she ties the knots.
 
Thanks
 
28 hujaolewa tu,niambie unakaa mitaa ipi mabaharia tuanze kukuwinda ili tumakesure mwaka hauishi huu ushaolewa maana unaelekea age ambayo unasema"me nataka mwanaume yeyote yule"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom