Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,170
- 17,584
Tumia convincing language atakuelewa na atakuruhusu
Sawa mkuu
Sawa mkuu
Mtu ajionavyo ndivyo alivyo km unaona utazeekea kwenu ndivyo ilivyo na atakae ona mume atamkuta nyumbani kwao ndivyo ilivyo MAISHA NI KUPANGA NA KUPANGA NI KUCHAGUAKwaiyo nizeekee kwetu sababu nitaonekana nimepangishia nyumba kweli
Mbona kama una ujuaji fulani....hapa naona kama huitaji ushauri bali unahitaji " sapoti" ya yale unayohitaji.!Labda hujanielewa mkuu nimekuja kupata mawazo zaidi je niko sawa au nakosea kulingana na navyolichukulia hili swala
mwanangu tulia kwanza nyumbani. Sasa hivi wanakukataza, taratibu watakukubalia... Nakuombea upate mume haraka... Wasichana wanakaa mbali na nyumbani kama wako mkoa mwingine au jiigrafia ya anapofanyia kazi hairuhusu...Sasa nikimpata ntamrudi vipi nyumbani sindontaolewa huko nilipoipata mkuu
Kumbe mbibi kabisa,nikajua labda 24-26. Ondoka hapo home aisee..kimbia mbio kali sana,jua linazama hilo.
mwanangu tulia kwanza nyumbani. Sasa hivi wanakukataza, taratibu watakukubalia... Nakuombea upate mume haraka... Wasichana wanakaa mbali na nyumbani kama wako mkoa mwingine au jiigrafia ya anapofanyia kazi hairuhusu...
Kuwa mwangalifu sana kuzalishwa sio ticket ya kuolewa wengi wamebaki single mother. Pia jiepushe na waume za watu kwa kuepuka mawazo ya makahaba eti hakuna cha peke yako, ...malipo utayapata hapahapa chini ya jua.
Mungu akujalie uwe msikivu na mwenye kuamua mambo kwa hekima. Ubarikiwe mama
Kwa 28 age! Sepa tu hapo home ukatafute bahati kwingine,kama waoaji hapo kwenu hawajakuona ujue riziki haipo hapo.ukikaa hapo itafika hata 35.Labda expression ya hili swala umelichukia kama ujuaji mkuu ila sikua namaanisha kujiona najua zaidi
Kwa 28 age! Sepa tu hapo home ukatafute bahati kwingine,kama waoaji hapo kwenu hawajakuona ujue riziki haipo hapo.ukikaa hapo itafika hata 35.
Halafu kwanza sio kila mwanamke lazima aolewe,pambana na maisha wewe kama wewe ,ikitokea mungu akakupatia mume shukuru,chukua hatua.ulipofikia hapo naunga mkono hoja ya wewe kuondoka hapo nyumbani.Ndonilichokua nauliza inamaana maisha yangu yatasimama kwakua sijapata mume au kuwa nyumbani pekee ndoticket ya kuolewa