Nafanya kazi ila hawanielewi kwa kigezo cha kwamba me ni Ke natokaje nyumbani sijaolewa nakimbilia maisha
mhm labda ulishaonyesha tabia za kugegedeka kirahisi ndio maana
Nafanya kazi ila hawanielewi kwa kigezo cha kwamba me ni Ke natokaje nyumbani sijaolewa nakimbilia maisha
Nikimaliza naweza kuhamia au itakua ndo yaleyale mkuu
Sasa inatofauti gani na sasa mkuu
Niliolewa kabla hata ya miaka 18 nadhani unaona kuwa anachokizungumzia mtoa mada sina uzoefu nacho,We ulianza vp maisha mkuu
Unataka tu huru ili uwe unapata dozi ya kutosha huna lolote. Maadili gani hayo ya kutaka kwenda kupanga wakati wewe ni mtoto wa kike?
Kaa nyumbani mpaka utakapoolewa ndiyo uende kupanga huko na mume wako.
Unakosa nini nyumbani kwenu?
Basi mkuu kuwa mpole kula comment tu za watuNiliolewa kabla hata ya miaka 18 nadhani unaona kuwa anachokizungumzia mtoa mada sina uzoefu nacho,
Wasikilize wazazi wako mtoto mzuri.Sawa mkuu asante kwa ushauri
Mkuu kwani Uko mkoani gani? Naomba tufahamiane Mkuu.Sawa mkuu
Unaomba ushauri au unatafuta wakukuunga mkono kwenye mawazo yako? Maana naona kila aliye against na wewe, hutaki kukubaliana nae as if ushafanya maamuzi tayari.
Jiulize yafuatayo:
1. Kwann uhame nyumbani? Uhuru gani unakosa? Kwann unahisi unabanwa?
2. Unataka kuanza kujitegemea?, sawa. Huna mtoto bado, unahudumia wazazi wako vizuri? Au mpaka wakwambie ndio ujue wanahitaji kitu fulani au vitu fulani?
Ushauri wangu:
Hapo kwenu, najua utakuwa na chumba chako. Make it full. Jaza mahitaji yako yote muhimu ndani ya icho chumba as if umepanga. Chukua jukumu la kuilea familia yako, hasa wazazi ( sio mpaka wakuombe au uambiwe)
Kitu ambacho hujui/hukioni kwasasa:
Sasa hivi yawezekana unamsimamo thabiti, ila tambua ni nadra sana kwa msichana kucontrol uhusiano, mara nyingi nyie huwa mnafatisha na ni ngumu kujua wanaume wanafikiria nini mkiwa kwenye mahusiano. Utapanga chumba, utapata mpenzi. Atakuwa sometimes analala na kuamkia hapo (huwezi kumzuia),kiufupi utakuwa kama mke, hadi siku atakayokupiga chini.
Unaweza ukakuta ndani ya miezi 4 ya kuwa nje ya nyumbani ukawa umepitia mahusiano machache lakini umetumika sana tofauti na ungekuwa nyumbani.
Nyongeza:
Jiulize kama unahitaji ushauri au unahitaji mtu wa kusupport mawazo yako. Alafu chukua hatua.
Analyse
Sababu kuu ya huu uzi ni kuomba ushauri na kuona fikra za wengine zikoje juu ya swala hili ndomana nimejaribu kujibu kila uzi ili nichallage waliokua wanaenda kinyume na mawazo yangu bt sijafanikiwa kupata sababu zaidi ya kuona ukandamizaji na dharau tu kwamba Ke hawezi kujitegemea kabla hajaolewa or akijitegemea basi atatumika tu na kuishia kuwa single mum apart from this reasommn hamna alieleta jibu tofauti this means mnaona Ke ni dhaifu kiasi cha kuwaona ni wa kutumika tu this includes u