de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,217
- 22,256
Tukijipumzisha kidogo na haya yanayo tokea nchini hebu tujadili hii issue kama kutafsiri kile kinacho endelea.
Katika kukuwa nilikuwa naskia huyu kijana, au huyu mtoto lazima aje aibadilishe hii familia, au huyu mtoto atakuja kuukomboa huu ukoo kutoka umaskini.
Au mzazi ana amua kuzaa watoto wengi ili kati yao mmoja aje kuwa msaada kwake. Utasikia anasema "mimi nimepambana sana, ila naamini kati ya watoto hawa huyu mmoja lazima aje kubadili hii familia na tutatoka katika umaskini.
Lakini pia katika biblia imeandikwa na ulisoma kuhusu Utabiri na kuzaliwa kwa Yesu, jinsi ambavyo nyota zili align na jinsi hakudhurika na kuuwawa mpaka alipofia msalabani.. Lakini pia jinsi Mungu alivyo mleta Musa kutoka katika uzao wa wamisri tena katika kipindi watoto waisraeli wa kiume waliuwawa.. Lakini Mussa aliyezaliwa na kutelkezwa mto Nile, akatokewa kupendwa na mtoto wa mfalme na kukuzwa na baadae kutoroka na kuja kuwa komboa wana wa Israeli.
Vivyo hivyo kwa wakina Isaka, Jacob na Daudi ni kama historia inatuambia kuwa kuna kitu kinaitwa destiny.. Watu ambao huja katika ulimwengu kwa ajili ya kufanya kitu fulani na kikatimia ndo wale wanaonekana kama wana destiny kwa sababu wao ndo wametimiza mazuri.
Lakini je, wale walikuwa kama pingamizi, watesi au maadui je? Na wale ambao walikuwa fuata upepo je? Binafsi naona wote hao walikuwa na destiny pia. Vile walivyo kuwa nayo pia ni destiny yao.
Je, katika historia ya maisha tukitoa dini, watu kama wakina Gandhi, kina Bob Marley, Martin Luther Jr, kina mother Theresa na wengine Je? Ukisoma historia vizuri uta gundua hakuna uongo kabisa.
Ni vile tu binadamu tunakuwa engrossed na maisha pasina kuangalia ni nini hasa kinaendelea. Ubaya na uzuri wote unaequa chanzes za destiny. Sema moja inaleta madhara nyingine inaleta manufaa.
Katika nature huwa kuna cyclical events kama El Nino, matetemeko, ghalika, au monsoon... Tunajua na yame tokea miaka na miaka. Ila je, kwa kawaida tunaweza kusema hizi ni destiny?
Je, kuna uwezekano pia ya kuwa sisi waafrika tuko destined kupitia umaskini na utumwa? Hasa kwa Karne hizi? Imagine unaambiwa ancient Egypt kule ndo ilikuwa matajiri wa ulimwengu. Walikuwa na majumba ya gold, zile pyramids zilikuwa na na wafalme ngozi nyeusi, na kulikuwa na watu wenye uelewa Mpana sana wa kifikra na kisayansi mpaka kuacha alama na lugha za kipekee ambazo zinazidi kupotezwa na kuficha na hao hao wazungu wanaocontro narrative ya ukweli kuhusu Africa.
Je, ndugu zangu nnaamini katika Destiny, ya kuwa vitu vipo jinsi vilivyo kwa sababu ni destiny na imejukuta iko hivyo tu. Kama msimu wa mvua na kiangnazi. Inaweza isiwe imeoangwa na mtu kama wengine watavyo fikiri ila ikawa ndo jinsi tu ulimwengu unavyo operate?
Nakaribisha mawazo yenu..
Nawatakia weekend njema pia.