Je, kweli JF iko salama?

Je, kweli JF iko salama?

Fagio_

Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
25
Reaction score
39
Heshima yenu wakubwa kwa wadogo.

Nimekuwa mdau wa ku view threads humu bila ku login.

Hili ni chapisho langu la kwanza tangu nijiunge humu kitambo nikiwa O-level, na kwa sasa bado sijafikisha hata miaka 30.

Kama mdau wa teknolojia, nimekaa nikatafakari jambo moja ambalo mara nyingi hapa JF tunalichukulia kirahisi: usalama wetu katika ulimwengu wa kidijitali.

Kila siku tunatumia majina ya kufikirika (IDs), tukiamini kwamba vinatulinda.

Lakini je, vinatulinda kweli?

Je, tunaweza kuwa salama nyuma ya hizi ID tunazojificha nazo, au tunajenga tu ukuta wa kutufanya tuamini kwamba tuko salama?

Na kama siku moja tutagundua kwamba usalama tuliouamini ulikuwa ni dhana tu, tutagundua tukiwa bado tuna muda wa kuchukua hatua, au baada ya kila kitu kuwa tayari kimesha chelewa?

Labda katika nyakati hizi, swali muhimu ni “Tunajua kiasi gani kuhusu udhaifu wa kile tunachokiita usalama?”

Respect 🙏
 
Kama unafanya au unawaza maovu, hata ukijificha Mungu anakuona. Utawakwepa wanadamu lakini Mungu huwezi kumkwepa.

Yeremia 23:24
Je, mtu aweza kujificha mahali pa siri hata nisiweze kumwona? Hamjui kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nipo kila mahali, mbinguni na duniani? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
 
Heshima yenu wakubwa kwa wadogo.

Nimekuwa mdau wa ku view threads humu bila ku login.

Hili ni chapisho langu la kwanza tangu nijiunge humu kitambo nikiwa O-level, na kwa sasa bado sijafikisha hata miaka 30.

Kama mdau wa teknolojia, nimekaa nikatafakari jambo moja ambalo mara nyingi hapa JF tunalichukulia kirahisi: usalama wetu katika ulimwengu wa kidijitali.

Kila siku tunatumia majina ya kufikirika (IDs), tukiamini kwamba vinatulinda.

Lakini je, vinatulinda kweli?

Je, tunaweza kuwa salama nyuma ya hizi ID tunazojificha nazo, au tunajenga tu ukuta wa kutufanya tuamini kwamba tuko salama?

Na kama siku moja tutagundua kwamba usalama tuliouamini ulikuwa ni dhana tu, tutagundua tukiwa bado tuna muda wa kuchukua hatua, au baada ya kila kitu kuwa tayari kimesha chelewa?

Labda katika nyakati hizi, swali muhimu ni “Tunajua kiasi gani kuhusu udhaifu wa kile tunachokiita usalama?”

Respect 🙏
Watu siku hizi tunazidi kuwa waoga we ishi tuuh
Coz hata usipoishi bado utaISHIa..
 
Hata vifaa vilivyojazwa mamlaka ya usimamizi huwa vizuri tu hadi pale BINADAMU anapoanza kuviletea mapepe yake.
 
Haukumbuki JamiiForums imepitia magumu mengi kwa sababu yako? Unahisi ni kwanini hayo yote yametokea? Siku ukilipata jibu sidhani tena kama utaweza kuhoji.

Lakini pia, kumbuka taarifa zako muhimu unapozijaza kwenye mitandao ya kijamii hazifutiki milele.
 
Back
Top Bottom