Je, Hatima (Destiny) Ni Kweli Ipo? Tujadili!

Nice one mkuu, umeongea kitu kikubwa sana sema watu kuona hili ndo mtihani.

Mungu humpatia mazuri yule atendae mambo yenye msaada kwa wengine. With a pure heart you can manifest all desires of your heart, ila ukikimbilia ego na kujikweza utaishia kuwa mfiasi wa negative energy bila kujua
Sahihi Mkuu, kanuni ya Mafanikio ya ki Mungu ni Moja tu, very simple....!

UNATAKA MUNGU ABADIRISHE MAISHA YAKO, JARIBU, JITAHIDI UBADIRISHE MAISHA YA WENGINE..... Automatically Mungu atabadirisha Maisha Yako, usitumie Nguvu nyingi kuomba Mungu akupe Utajiri, usipoteze Muda wako kufunga ili Mungu akupe Utajiri ama akupe Maisha ya juu, Wewe badirisha tu Maisha ya wengine Mungu ataanza kuachilia Neema hizo hutoamini.

Kwa Nini ni rahisi Mungu kukubariki pale unapobadirisha Maisha ya wengine, Sisi wote hapa ni Watoto wa Mungu, wapo Walemavu, Yatima, Wajane, labda wote Hawa Hawawezi kumudu Maisha Yao ya Kila siku, lakini Mungu kama Roho aliumba hii Dunia ambapo yeye kama yeye hawezi kuja kwenye hii Dunia ya Nyama, na Kuna Watu wanahutaji msaada wake, na hawezi kuwadondoshea Mabegi ya pesa Wahitaji, Wala kudondosha Mana Tena.

So Mungu anatamani apate Binadamu ambaye ataingia naye deal, na yenyewe, atapandikiza ideas za Biashara kichwani mwako, utaona wewe ndiyo unaweza, kumbe yeye amepandikiza hizo Business idea, atakuunganisha na Watu kimaajabu, ili ukipiga pesa, Sasa urudi kuwasaidia Masikini, na kadri unavyosaidia Masikini, ndivyo anavyoshusha Neema zake kwenye Maisha Yako.

SI inatokea Neema kidogo, unaanza kushinda Bar, unaingeza na Mke wa pili, unatembea na wake wa marafiki zako, nakuhakikishia Utakuja hapa Kwa hasira nyingi, kutupigia kelele kwamba Mungu ana Upendeleo.
 
Nimeipenda hii mindset
 
Je, unadhani first born huwa target... Na hupitia changamoto ili kujenga character na msingi bora kwa ajili ya kuleta mabadiliko imara?
Yes Mara nyingi huwa inakua first born au Last born! hao watu wana vita vingi vya kiroho hadi kufikia hatma.
Sijajua kusudi la Mungu kuliweka hilo kiroho! Ila hatma ni kitu halisi kabisa, kipo.
 
Je wewe kama first born umevishinda vita! Na ni njia gani imekuwa msaada kwako?
 
Ufalme ukianguka unaanguka kweli unabakia historia tena mbaya au tajiri akifirisika watu wanabaki wanamshangaa. Wewe unashangaa dola ya Misri soma dola ya Ugiriki ndio utabakia kinywa wazi
Anunaki na Vibao vya Emeradi
 
Vita bado vipo mkuu! Ila nimeanza kuona dalili za kuelekea hatma tangu nilipoambiwa mwaka 2021 njia yangu ya hatma, imenichukua 5 yrs ni misuko suko na mikikimikiki tu( kutengwa, kuchekwa, kudhalilika, marafiki na ndugu kukukimbia. Ni kama universe inaanza kuumba kitu kipya maono katika maisha yako).
Iko hivi mkuu ili mtu afike kwenye hatma yake aliyopangiwa na Mungu. Mungu huwa anamleta mtu wa kukushika mkono na kukuvusha!
Huyo mtu huwa anaona kile ulichonacho sio CV zako, wala vyeti unajikuta roho yake na yako vinashibana.
Je wewe kama first born umevishinda vita! Na ni njia gani imekuwa msaada kwako?
 
Vita bado vipo mkuu! Ila nimeanza kuona dalili za kuelekea hatma tangu nilipoambiwa mwaka 2021 njia yangu ya hatma, imenichukua 5 yrs ni misuko suko na mikikimikiki tu( kutengwa, kuchekwa, kudhalilika, marafiki na ndugu kukukimbia. Ni kama universe inaanza kuumba kitu kipya maono katika maisha yako).
Iko hivi mkuu ili mtu afike kwenye hatma yake aliyopangiwa na Mungu. Mungu huwa anamleta mtu wa kukushika mkono na kukuvusha!
Huyo mtu huwa anaona kile ulichonacho sio CV zako, wala vyeti unajikuta roho yake na yako vinashibana.
Sawa mkuu so means huyo mtu ulishampata?
 
Yes mkuu! kama nilivoambiwa 2021! na ni mtu ambaye ana maono kama niliyokuwa nayo mimi kabla hata simjui!
Nilikua nawaza nitatimiza vipi maono yangu kumbe Mungu anakuletea mtu wa kukushika mkono!
Mara nyingi mtu huyo anakua ana uwezo mkubwa kifedha na mamlaka ili akija anakuvusha na kukupeleka kule kwenye maono yako japo yeye hajui!
Akishakamilisha hilo jukumu la hatma ndipo baadae utaanza kutembea peke yako kutimiza kusudi la Mungu ndani yako. Nimejifunza kumbe maisha ni Spiritual.
 
Back
Top Bottom