Je, Hatima (Destiny) Ni Kweli Ipo? Tujadili!

Mungu alituumba sisi Kwa sababu ya Upendo tu, hatukufanya chochote kwake, alituchagua tu, kama wewe unaweza kuwa na Mtoto wako anatakiwa kwenda Boarding, utamwandalia kila kitu, Nguo za kushindia, Madaftari mpaka pesa ya kujikimu, na Bado utamwambia siku akipata tatizo aombe simu hata Kwa Mwalimu ili awàsiliane na wewe.

Hivyo ndivyo Mungu alifanya kwetu, aliandaa Hatima ya Kila mmoja wetu kabla hata hatujazaliwa....!

Ukisoma kwenye Kitabu Cha Yeremia Kuna kitu Mungu anamwambia Nabii Yeremia.

YEREMIA 1:5.
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Ukisoma huo mstari utaona Mungu anamwambia Nabii Yeremia kuwa alimjua kabla hata hajazaliwa, Yeremia alikua Binadamu kama sisi, aliyezaliwa na Baba na Mama kama sisi, hivyo kama Mungu aliweza kumjua Yeremia, means Mungu anatujua Kila Mmoja wetu, na Kwa Yeremia utaona Mungu aliweka Hatma ya Unabii kwake, means hata kwa Kila mmoja Mungu ameweka Hatma.

Siku unayozaliwa unakua na Fully package Yako, unazaliwa na Kila kitu chako, njia Yako mpaka kuelekea kutimiza Hatma Yako ipo ndani Yako, Mungu anajua utakwama wapi, anajua utatoboa ama lah!

Sasa Ulimwengu wa Roho ndiyo unaendesha hii Dunia ya Nyama, Ulimwengu wa Roho una kanuni zake na Sheria zake, na Mungu naye ana kanuni na Sheria zake, kama utaishi Kwa kufata Sheria na kanuni za Mungu, then Mungu atawajibika kwako kuhakikisha unafikia Hatma Yako, kama utaamua kuishi bila kufata Sheria za Mungu, then Mungu hatakua responsible na Hatma Yako, japo anajua kabisa changamoto zako na wapi utakwama.

Shetani kama Shetani ni mpinzani, Shetani kama yeye Hana alichonacho zaidi ya ule uwezo wake aliokua nao kabla hajamwasi Mungu, Shetani hawezi hata na Nguvu ya kumpa mtu Utajiri, ila Shetani anachofanya ni kuiba kile kifurushu chenye Hatma Yako na kumpa mtu mwingine anayemtaka (wengine huita Nyota) wengine huita Baraka... Hakuna Baraka mpya ama Nyota mpya, Kila Mtu alipewa vyake alipozaliwa.

Wako Watu hatima zao ni Uongozi, Utajiri, Wakili n.k kinachotokea Kuna Marais Leo wanatawala Kwa sababu walienda Kwa Mganga (Agent wa Shetani) Mganga akaiba Hatma (Nyota) ya mtu mwingine, kitu ambacho ni rahisi kufanya, coz kwenye Ulimwengu wa Roho hakuna Siri, na akampa Mtu ambaye hakuwa na Nyota ya Uongozi na mtu huyo akawa Rais, unaweza kujua tu Kiongozi aliyepata Uongozi Kwa kuiba Nyota za Watu kuonekana Hatoshi, Yani anakua na madhaifu mengi.

Kuna Marais Tanzania wapo mitaani, Kuna mawaziri wapo mitaani, Kuna Matajiri ni Masikini mitaani, wengine wapo kaburini na hawakuwahi kufikia hatima zao.

Kufikia hatima Yako inabidi uishi sawa na Mapenzi ya Mungu, nje ya hapo, utaibiwa Hatma Yako kwenye Ulimwengu wa Roho na Kila kitu kitadhirika kwenye Ulimwengu huu.
 
Mengi uliyoyasema nakubaliana nayo,lakini napingana na wewe kwenye swala la hatima ya mtu kuibiwa na shetani sijui na kupewa mtu mwingine

Hapo unamfanya Mungu kuwa hakujua nini kitatokea huko mbeleni,au Mungu anazidiwa na Shetani kwa mipango aliyowapangia waja wake

Huu ni mtazamo wangu,ila bado unaweza kubakia kwenye mtazamo wako mkuu
 
Iko hivi,ukiwa na hatima ya kuwa mchezaji mpira,makuzi yako yote yatakupeleka kwenye njia hizo

Ukiwa mwanasiasa mkubwa hatima itachora mstari ambao unakupeleka huko

Ukiwa kiongozi by nature hatima itakupeleka huko,yani wanadamu wanaishi kupitia ramani ambayo ishachorwa tayar
Binafsi I feel everything that I encountered in my life vimekuwa kama nyenzo za kujaribu ku awaken kitu ndani yangu nianze kuona Hatima yangu.
 
Mkuu Degu,@de Gunner,destiny ipo,hupangwa na Mungu,kila kiumbe ile siku anakuwa conceived,anakuwa ameishapangiwa destiny yake,ndio maana kwenye kila familia kunatokea mtoto mmoja anakuwa the choosen one,anaibeba hatma ya familia hiyo

Mara nyingi the chosen one huwa ni first born boy,lakini sometimes huwa ni mtoto mwingine yeyote hata mtoto wa kike.

Hata hiki kinachoendea nchini kwetu,kama the chosen one ndiye huyu anayekuwa persecuted,then Yeye huweza kulifanya lile jiwe lililokataliwa na waashi,kuwa jiwe kuu la pembeni!.

P
I'm the living proof of this! Na mara nyingi watu wenye destiny/Chosen ones wanapitia mikiki mingi ya kimaisha. Ila Mwenyezi Mungu huwa anawasimamia mpaka mwisho.
Mimi ni first born! Natamani niwape kisa changu ila ngoja kwanza kitimie maana nipo kwenye safari kwa ajili ya hatma.
 
Mengi uliyoyasema nakubaliana nayo,lakini napingana na wewe kwenye swala la hatima ya mtu kuibiwa na shetani sijui na kupewa mtu mwingine

Hapo unamfanya Mungu kuwa hakujua nini kitatokea huko mbeleni,au Mungu anazidiwa na Shetani kwa mipango aliyowapangia waja wake

Huu ni mtazamo wangu,ila bado unaweza kubakia kwenye mtazamo wako mkuu
Hilo ndilo jambo linawatatiza wengi, na wengi husema Kwa Nini Mungu hakumuua Shetani ili asiwasumbue Binadamu.

Ni hivi Mkuu, kama utaishi Kwa kumpendeza yeye, kufata Sheria zake, kuacha Dhambi, kuwa Mtu wa kumwabudu yeye, uwe na Pure heart, Mungu atakua responsible na Hatma Yako, coz yeye ndiye Mlinzi wa Hatma Yako, Sasa ukaishi kwenye Njia zako mwenyewe, Unafata Maisha ya Dunia hii iliyojaa Dhambi, usitegemee Mungu atalinda Hatma Yako.

Mfano mdogo, Mungu huwapa Watu Utajiri, ila lengo la Mungu kukupa Utajiri ni Moja tu, Kwa ajiri ya Ufalme wake, Kusaidia Kanisa (Lolote) na kingine Kusaidia wenye Uhitaji, Yatima, Wajane na Masikini, Hilo ndilo lengo la Mungu kumpa mtu Utajiri, Sasa Kama wewe ndani ya Moyo wako huna hivyo Vitu, sahau kuwa Tajiri, ila unaweza kuwa Tajiri kupitia upande wa pili...!

Shetani naye hapendi Matajiri ambao wanasaidia Watu ama Kanisa, coz Lengo Mama la Shetani ni kuwafanya Binadamu wasimwabudu Mungu wao, kufanya Binadamu aone Mungu hawezi kumsaidia.
 
Ndo maana bado unakimbia mzizi, what makes one azaliwe kwenye hizo scenario kama sio Hatima yake?
Hili swali majibu yake yanategemea kama unaamini mungu au huamini mungu. Lakini pia hata kama unaamini mungu na unaamini kuna kitu, mtu au force ya kupanga mambo basi utazalisha tatizo la mlolongo wa maswali usioisha (infinite regress).
 
Hiyo inaweza kuwa ni dhana nyingine na sio hatima, unaweza kuwa na point nzur katika haya unayoyasema lakini yasiangukie kwenye hatima

Hatima ni kile ambacho ni chako,majaliwa yako,sasa kama majaliwa yangu how comes mwingine aje achukue?

Ndio maana nikasema hapo awali,kwamba unaweza kubakia na mtazamo wako na Mimi wa kwangu juu ya suala la hatima

Kwa maana tukubali kutokubabaliana,kwa maana utabaki na mtazamo wako nami wa kwangu peiod.
 
Ni sahihi kwamba inategemea na kama unaamini Mungu yupo ama lah! Ila wengi wetu sisi humu ni Watu wa Dini, hata wale wanaojifanya hawaamini uwepo wa Mungu, wanafanya hivyo hapa JF tu, jao hawaendi Msikitini ama Kanisani, ila wanajua kabisa yupo Mungu aliyeumba vitu vyote hivi...

Na ujue Mungu ni Mungu mwenye mipango, ilikua ni ajabu kama angetuleta tu hapa Duniani na kutubwaga kama Vifaranga vya Kuku, visvyojua kesho Yao, lazima Kuna plan aliweka, Kila Mtu aliweka Hatma yake ndani yake.
 
Sawa sawa, na kwanini unazaliwa katika familia duni bila ridhaa yako? Au tuseme kwa nini hayo mazingira, watu, au malezi yawe tailored vyema kwa wengine vyema na kwa wengine vizuri.

Au nikuulize kwa nini tunasema wewe una bahati ya kuzaliwa sehemu fulani na mwingine awe na bahati mbaya?

Bila shaka point yako inamashiko pia
Maisha hayana kusudi hvyo hakuna bahati. Vyote ni by chance. Take this
 
Hili swali majibu yake yanategemea kama unaamini mungu au huamini mungu. Lakini pia hata kama unaamini mungu na unaamini kuna kitu, mtu au force ya kupanga mambo basi utazalisha tatizo la mlolongo wa maswali usioisha (infinite regress).
What's infinite regress! Kwenye reality yako? Hasa yenye ukomo baada ya kifo? Kwanini usikubali kuwa hicho ambacho hakijulikani ndio hatima yako? Kwanini uingize logic ambapo Kamwe haiwezi kukaa?
 
I'm the living proof of this! Na mara nyingi watu wenye destiny/Chosen ones wanapitia mikiki mingi ya kimaisha. Ila Mwenyezi Mungu huwa anawasimamia mpaka mwisho.
Mimi ni first born! Natamani niwape kisa changu ila ngoja kwanza kitimie maana nipo kwenye safari kwa ajili ya hatma.

Je, unadhani first born huwa target... Na hupitia changamoto ili kujenga character na msingi bora kwa ajili ya kuleta mabadiliko imara?
 
Mungu alituumba sisi Kwa sababu ya Upendo tu, hatukufanya chochote kwake, alituchagua tu, kama wewe unaweza kuwa na Mtoto wako anatakiwa kwenda Boarding, utamwandalia kila kitu, Nguo za kushindia, Madaftari mpaka pesa ya kujikimu, na Bado utamwambia siku akipata tatizo aombe simu hata Kwa Mwalimu ili awàsiliane na wewe.

Hivyo ndivyo Mungu alifanya kwetu, aliandaa Hatima ya Kila mmoja wetu kabla hata hatujazaliwa....!

Ukisoma kwenye Kitabu Cha Yeremia Kuna kitu Mungu anamwambia Nabii Yeremia.

YEREMIA 1:5.
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Ukisoma huo mstari utaona Mungu anamwambia Nabii Yeremia kuwa alimjua kabla hata hajazaliwa, Yeremia alikua Binadamu kama sisi, aliyezaliwa na Baba na Mama kama sisi, hivyo kama Mungu aliweza kumjua Yeremia, means Mungu anatujua Kila Mmoja wetu, na Kwa Yeremia utaona Mungu aliweka Hatma ya Unabii kwake, means hata kwa Kila mmoja Mungu ameweka Hatma.

Siku unayozaliwa unakua na Fully package Yako, unazaliwa na Kila kitu chako, njia Yako mpaka kuelekea kutimiza Hatma Yako ipo ndani Yako, Mungu anajua utakwama wapi, anajua utatoboa ama lah!

Sasa Ulimwengu wa Roho ndiyo unaendesha hii Dunia ya Nyama, Ulimwengu wa Roho una kanuni zake na Sheria zake, na Mungu naye ana kanuni na Sheria zake, kama utaishi Kwa kufata Sheria na kanuni za Mungu, then Mungu atawajibika kwako kuhakikisha unafikia Hatma Yako, kama utaamua kuishi bila kufata Sheria za Mungu, then Mungu hatakua responsible na Hatma Yako, japo anajua kabisa changamoto zako na wapi utakwama.

Shetani kama Shetani ni mpinzani, Shetani kama yeye Hana alichonacho zaidi ya ule uwezo wake aliokua nao kabla hajamwasi Mungu, Shetani hawezi hata na Nguvu ya kumpa mtu Utajiri, ila Shetani anachofanya ni kuiba kile kifurushu chenye Hatma Yako na kumpa mtu mwingine anayemtaka (wengine huita Nyota) wengine huita Baraka... Hakuna Baraka mpya ama Nyota mpya, Kila Mtu alipewa vyake alipozaliwa.

Wako Watu hatima zao ni Uongozi, Utajiri, Wakili n.k kinachotokea Kuna Marais Leo wanatawala Kwa sababu walienda Kwa Mganga (Agent wa Shetani) Mganga akaiba Hatma (Nyota) ya mtu mwingine, kitu ambacho ni rahisi kufanya, coz kwenye Ulimwengu wa Roho hakuna Siri, na akampa Mtu ambaye hakuwa na Nyota ya Uongozi na mtu huyo akawa Rais, unaweza kujua tu Kiongozi aliyepata Uongozi Kwa kuiba Nyota za Watu kuonekana Hatoshi, Yani anakua na madhaifu mengi.

Kuna Marais Tanzania wapo mitaani, Kuna mawaziri wapo mitaani, Kuna Matajiri ni Masikini mitaani, wengine wapo kaburini na hawakuwahi kufikia hatima zao.

Kufikia hatima Yako inabidi uishi sawa na Mapenzi ya Mungu, nje ya hapo, utaibiwa Hatma Yako kwenye Ulimwengu wa Roho na Kila kitu kitadhirika kwenye Ulimwengu huu.
Nashukuru kwa somo mkuu.
 
Ni sahihi kwamba inategemea na kama unaamini Mungu yupo ama lah! Ila wengi wetu sisi humu ni Watu wa Dini, hata wale wanaojifanya hawaamini uwepo wa Mungu, wanafanya hivyo hapa JF tu, jao hawaendi Msikitini ama Kanisani, ila wanajua kabisa yupo Mungu aliyeumba vitu vyote hivi...

Na ujue Mungu ni Mungu mwenye mipango, ilikua ni ajabu kama angetuleta tu hapa Duniani na kutubwaga kama Vifaranga vya Kuku, visvyojua kesho Yao, lazima Kuna plan aliweka, Kila Mtu aliweka Hatma yake ndani yake.
Kama unaamini mungu yupo huwezi kuacha kuamini kuna destiny/ fate/ kudra/ kadara/ mipango ya mungu, huo hata sio mjadala au hatupaswi kuwa mjadala kwao waamini mungu. Ujinga ni kusema kila mtu anajua mungu yupo kwa sababu hata wewe kwanza hujui bali unaamini tu.
 
Hilo ndilo jambo linawatatiza wengi, na wengi husema Kwa Nini Mungu hakumuua Shetani ili asiwasumbue Binadamu.

Ni hivi Mkuu, kama utaishi Kwa kumpendeza yeye, kufata Sheria zake, kuacha Dhambi, kuwa Mtu wa kumwabudu yeye, uwe na Pure heart, Mungu atakua responsible na Hatma Yako, coz yeye ndiye Mlinzi wa Hatma Yako, Sasa ukaishi kwenye Njia zako mwenyewe, Unafata Maisha ya Dunia hii iliyojaa Dhambi, usitegemee Mungu atalinda Hatma Yako.

Mfano mdogo, Mungu huwapa Watu Utajiri, ila lengo la Mungu kukupa Utajiri ni Moja tu, Kwa ajiri ya Ufalme wake, Kusaidia Kanisa (Lolote) na kingine Kusaidia wenye Uhitaji, Yatima, Wajane na Masikini, Hilo ndilo lengo la Mungu kumpa mtu Utajiri, Sasa Kama wewe ndani ya Moyo wako huna hivyo Vitu, sahau kuwa Tajiri, ila unaweza kuwa Tajiri kupitia upande wa pili...!

Shetani naye hapendi Matajiri ambao wanasaidia Watu ama Kanisa, coz Lengo Mama la Shetani ni kuwafanya Binadamu wasimwabudu Mungu wao, kufanya Binadamu aone Mungu hawezi kumsaidia.
Nice one mkuu, umeongea kitu kikubwa sana sema watu kuona hili ndo mtihani.

Mungu humpatia mazuri yule atendae mambo yenye msaada kwa wengine. With a pure heart you can manifest all desires of your heart, ila ukikimbilia ego na kujikweza utaishia kuwa mfiasi wa negative energy bila kujua
 
Hiyo inaweza kuwa ni dhana nyingine na sio hatima, unaweza kuwa na point nzur katika haya unayoyasema lakini yasiangukie kwenye hatima

Hatima ni kile ambacho ni chako,majaliwa yako,sasa kama majaliwa yangu how comes mwingine aje achukue?

Ndio maana nikasema hapo awali,kwamba unaweza kubakia na mtazamo wako na Mimi wa kwangu juu ya suala la hatima

Kwa maana tukubali kutokubabaliana,kwa maana utabaki na mtazamo wako nami wa kwangu peiod.
Maswala ya kuibiwa nyota huwa yananishangaza sana! Na ni kweli inawezekana, hatujawahi kuona mtu akiishi na watu fulani hao watu wanafanikiwa the akiondoka tu, maisha ya nakuwa magumu.

It means kuna energy ambayo anai possess! Na inafanya watu au vitu viweze kuwa draw hiyo sehemu. Ila hata mimi naona ni ideology tu bado
 
Sijajua mkuu maana hawajatajwa.l
Labda kwa sababu zamani enzi hizo hakukuwa na tatizo la unemployment, inabidi kufanya update ya maandiko.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Kama unaamini mungu yupo huwezi kuacha kuamini kuna destiny/ fate/ kudra/ kadara/ mipango ya mungu, huo hata sio mjadala au hatupaswi kuwa mjadala kwao waamini mungu. Ujinga ni kusema kila mtu anajua mungu yupo kwa sababu hata wewe kwanza hujui bali unaamini tu.
Mimi nilishavuka Kwa habari ya kuamini Mungu, Mimi Mungu alijifunua yeye mwenyewe kwangu, kwangu nilimshuhudia Mungu kupitia namna alivyojifunua kwangu.

Mijadala kama hii inawasadia hata wanao amini Mungu, Kuna Vitu vingi Watu hawajui, kupitia Mijadala aina hii, Michango Toka Kwa Watu tofauti inafanya Watu wajifunze.

Unaweza kumuona mtu hapa ukamdharau kwa kumwambia inawezekana una amini tu Mungu yupo lakini hujui....! Jf imekusanya Watu wa aina tofauti na wakipata haki ya kikanuni ya jf ya kuficha Utamburisho wao, kama wakati mwingine tungepata nafasi ya kumuona Kila anayechangia hapa, then labda ungeweza kusema kama Mchungaji wa Kanisani kwangu kachangia, Mimi ni nani.......!
 
Back
Top Bottom