Je, Hatima (Destiny) Ni Kweli Ipo? Tujadili!

Ambaye anasema hakuna hatma aje aseme atakufa lini na kwa namna gani ugonjwa au ajali au atalala asiamke tena
Hatma ipo ndio maana tunatakiwa kusali maana kesho yako huijui

Magu alikuwa Rais hakujua kama angekuwa Rais vilevile hakujua kama asingemaliza muda wake
 
Hatima/ destiny ni nini kwako ?
Hatma ni dhana ya kuwa sina complete dominance ya maisha na experience zangu. Ni Mungu au uhalisia wa kila jambo ndo unao control ninacho kuona, experience na uhai in gemeral
 
Ambaye anasema hakuna hatma aje aseme atakufa lini na kwa namna gani ugonjwa au ajali au atalala asiamke tena
Hatma ipo ndio maana tunatakiwa kusali maana kesho yako huijui

Magu alikuwa Rais hakujua kama angekuwa Rais vilevile hakujua kama asingemaliza muda wake
Ni kasheshe watu wa navyo kuja kubishana moja kwa moja
 
Hatma ni dhana ya kuwa sina complete dominance ya maisha na experience zangu. Ni Mungu au uhalisia wa kila jambo ndo unao control ninacho kuona, experience na uhai in gemeral
Maisha yako ni matokeo ya aina ya genes, mahali unapozaliwa, familia unayozaliwa, athari za watu wanaokuzunguka hasa ukiwa udogoni, bahati na jitihada zako binafsi vyote kwa pamoja.
 
Ambaye anasema hakuna hatma aje aseme atakufa lini na kwa namna gani ugonjwa au ajali au atalala asiamke tena
Hatma ipo ndio maana tunatakiwa kusali maana kesho yako huijui

Magu alikuwa Rais hakujua kama angekuwa Rais vilevile hakujua kama asingemaliza muda wake
Ukisali unaweza kubadilisha hatma yako?
 
Maisha yako ni matokeo ya aina ya genes, mahali unapozaliwa, familia unayozaliwa, athari za watu wanaokuzunguka hasa ukiwa udogoni, bahati na jitihada zako binafsi vyote kwa pamoja.
Sasa nimekuuliza hiyo sio Hatima? Maana you've no control ya kila kitu hapo
 
Sijakuzoea kukusoma bila kiswanglish imekuwaje tena umetoa ile ladha? 😹
Nimeanza kuadapt na mazingira. Lugha sio issue tena. Na jitahidi kuondoa English maana inawakwaza wengi, na inaonekana kujifanya najua kumbe nami najifunza
 
Mi binafsi huwa napenda swaga zako za kumix lugha ni brand flani hivi

Dude live your life, huwezi msikiliza kila mtu katika maisha,kama ungeambiwa huna adabu na ukabadilika hapo hata mimi ningekuunga mkono kuwa watu wanachukiwa na utovu wako wa nidhamu

Lakini kumix lugha nayo unahofia watu?

Aisee tumekuzoea na zile swaga,endela kupiga swaga mzea
 
Sasa nimekuuliza hiyo sio Hatima? Maana you've no control ya kila kitu hapo
Ulimwengu ambao kila mtu ana control ya kila kitu ni utopia. Utakuwa ulimwengu gani huo? Yani ukiamka ukitaka kuwa rais unakuwa, ukitaka kuua watu milioni unaweza, ukitaka ardhi yote Tanzania unaipata, ukitaka uraia wa Marekani unaipata tu, ukitaka mwanamke yoyote unampata
 
Mi binafsi huwa napenda swaga zako za kumix lugha ni brand flani hivi

Dude live your life, huwezi msikiliza kila mtu katika maisha,kama ungeambiwa huna adabu na ukabadilika hapo hata mimi ningekuunga mkono kuwa watu wanachukiwa na utovu wako wa nidhamu

Lakini kumix lugha nayo unahofia watu?

Aisee tumekuzoea na zile swaga,endela kupiga swaga mzea
Sio kwamba naiacha mazima najua siwezi.

Mimi hata uongeaji wangu lazima niweke kingereza. It's who I am, ni nature yangu. Hii nimeanza zamani sana. Mzee wetu alikuwa anatufanaya tuongee kile tumejifunza shule, so nikajikuta maneno ya kingereza yana nikaa tu. So na jitahidi kubalance tu mzee
 
Ulimwengu ambao kila mtu ana control ya kila kitu ni utopia. Utakuwa ulimwengu gani huo? Yani ukiamka ukitaka kuwa rais unakuwa, ukitaka kuua watu milioni unaweza, ukitaka ardhi yote Tanzania unaipata, ukitaka uraia wa Marekani unaipata tu
Sasa, what is that that makes people be who they're not?
 
Speaking of destiny hiyo ipo kama wadau walivyosema haina ubishi

Huyu mwamba Denzil Washington

Screenshot_20260829-203537_Google.jpg

Alivyokuwa mdogo alikutana na.bibi mmoja hivi,akashika kiganja chake na.kumwambia Utakuja kuwa mtu mashuhuri sana duniani

Kauli ya yule bibi ilikuja kusadifu hali halisi miaka kadhaa uko.mbele,the dude is famous sana tu

Kwahiyo destiny ipo homeboy
 
Speaking of destiny hiyo ipo kama wadau walivyosema haina ubishi

Huyu mwamba Denzil Washington

View attachment 3659652

Alivyokuwa mdogo alikutana na.bibi mmoja hivi,akashika kiganja chake na.kumwambia Utakuja kuwa mtu mashuhuri sana duniani

Kauli ya yule bibi ilikuja kusadifu hali halisi miaka kadhaa uko.mbele,the dude is famous sana tu

Kwahiyo destiny ipo homeboy
Hii stori naijua mkuu,
Sasa naanza kuona how this issue isn't a coincidence. Wengi tunajidanhanya na ku chase vitu visivyo Hatima yetu. Once uki gundua tu unaachana na drama
 
Sasa, what is that that makes people be who they're not?
Ukizaliwa kwenye familia ya wezi na ukawa na marafiki wengi wezi au matapeli kuna uwezekano mkubwa ukawa mwizi lakini upo uwezekano kiasi pia wa kutokuwa mwizi kwa sababu nyingine nyingi mbalimbali. What make people who they are or not is both "nature" and "nurture".
 
Ndo maana bado unakimbia mzizi, what makes one azaliwe kwenye hizo scenario kama sio Hatima yake?
 
Hii stori naijua mkuu,
Sasa naanza kuona how this issue isn't a coincidence. Wengi tunajidanhanya na ku chase vitu visivyo Hatima yetu. Once uki gundua tu unaachana na drama
Iko hivi,ukiwa na hatima ya kuwa mchezaji mpira,makuzi yako yote yatakupeleka kwenye njia hizo

Ukiwa mwanasiasa mkubwa hatima itachora mstari ambao unakupeleka huko

Ukiwa kiongozi by nature hatima itakupeleka huko,yani wanadamu wanaishi kupitia ramani ambayo ishachorwa tayar
 
Back
Top Bottom